@dunialeo_: Sheikh Saidi Mwaipopo amedai kuwa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekosa uzalendo, ukweli na nidhamu katika uongozi wake. Sheikh Mwaipopo ametoa madai hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari, akimuelezea Dkt. Nchimbi kama “kaka yake” na kuhoji mwenendo wake katika uongozi.#dunialeoUPDATES
alipinga mpaka maamuz ya magufuli huyu nchimbi mm ninachoon ana uroho wa madaraka
2026-08-27 02:10:02
9
Mushi AthumaniTeja :
alivyokua makamu mbona hujasema hayo
2026-08-26 19:17:20
9
tina01 :
huyu wangempumzisha Usheik awe mwanasiasa tu
2026-08-26 20:29:06
5
Ranny_cute❤️🥀 :
Asante
2026-08-26 18:01:06
1
Al Bahr :
Watu wanatia kusahau kama huyu ndio alipinga uteuzi wa JPM au mmesahau ikiona mtu JPM alimuweka pembeni bas huyo hafai
2026-08-26 20:41:49
5
Denis kinunda :
anacheo gan huyu jamaaa
2026-08-26 20:12:26
1
WEST PAPY 🏅🏀🤟 :
Kwan kipindi mna mteuwa kuwa makam wa rais mlikua mfahamu sas iv ndo mnajua mabaya yake bro story zen na propa ganda tumezichoka
2026-08-27 10:11:21
2
mamie💞 :
waislam wenzangu taqbir🥰🥰
2026-08-27 09:28:32
1
MBWANA RAJAB :
Kwani Kitima naye kazi yake ni nini???
Msiangalie upande mmoja
2026-08-26 20:37:58
3
From your contact :
Huyu jamaana Anafanya kazi gani😁
2026-08-27 03:31:36
2
salumu :
kwani auwezi kuongeya bila kutaja chadema naheche
2026-08-26 19:21:29
1
Mamu shabani :
kwani huyu Mwampopo ni nani ktk hii nchi kwa sasa?
2026-08-26 23:17:17
0
Denis kinunda :
:semaji la serikali
2026-08-26 20:12:48
1
juma sadallah :
watu wa siasa uyu ndo waziri gani
2026-08-27 06:48:57
4
chsan moto wa mama :
wewe umeongea point kaka🙏
2026-08-26 19:42:48
2
nathacom. tech :
Hawa ndio wasemaji wa serikali jamani inahuzunisha sana sijui tunaenda wp
2026-08-27 05:56:14
1
Paschal philipo petro :
hili zwazwa kwanin sasa alipendekezwa na bunge kua Makamu
2026-08-27 02:34:27
1
ANKO JJ :
kwani huyu ni nani nchi hii
2026-08-26 19:49:29
2
Rashidi Saidi :
Wewe siku hizi umekuwa msemaji wa serikali
2026-08-26 19:51:17
2
Ean Joe :
TNAULIZA KITU KILA SIKU WAUSIKA WA HII NCHI UYU NI NANI ANALIPWAGA NA NANI KWANN ANAYAFANYA AY KWANN HAKUNA ANAETUJIBU NA KAMA ANATELIWA MBONA HANA POINT ZAMAAN
2026-08-27 05:59:43
0
To see more videos from user @dunialeo_, please go to the Tikwm
homepage.