@cwgchiwaga: kujiuzulu Kwa makamu wa rais dkt.nchimbi kumezua mijadala mitandaoni  sheikhe mwaipopo amejitokeza na kuzungumza mambo mengi kuhusu sakata hili kubwa ni mwenendo wa  makamu WA rais kipindi Cha uongozi wake 

CWG DIGITAL
CWG DIGITAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 18:22:36 GMT
55668
1560
66
44

Music

Download

Comments

jr.choicen
Jr choicen :
That's why 🤫
2026-08-27 12:36:28
0
marikiaugustino
joejoe :
time will tell
2026-08-27 09:31:06
0
martha.tevely
Martha Tevely :
Kipindi mnampendekeza kuwa makamu wa rais walisahsu hayo mafail au
2026-08-27 00:32:21
17
abieza220
abieza :
musituhusishe sisi hatumo
2026-08-26 20:51:59
4
petermanyangu0
keyston :
huyu nae vp
2026-08-26 21:16:30
3
yazidu.katora
Yazidu Katora :
hila uyo aliojiudhuru hamna kitu kabisa sijawah kumkubali.
2026-08-27 11:27:40
1
077mk5
Ibrahim :
hyoo mwanachama wa chama gani
2026-08-27 09:33:51
0
user6330451275139
kinguluila8888 :
ccm tuliwaambia mapema tu mtu ana kataa uteuzi wa magufuli nyie mka mwamini mkamrudisha ??ilikuwa ni swala muda tu kuondoka😏😏😏
2026-08-27 04:13:37
6
violetmmasi
violetmmasi :
Mungu tutetee maana kwako Kuna matumaini na njia zako ni nyingi na hazichunguziki Watanzania tunakulilia Mungu wetu msaada wetu uko kwako 🙏🙏🙏
2026-08-27 11:00:57
1
lowassamo93
lowassamo93 :
2026-08-26 19:48:18
1
kotachrissy255
Kotachrissy255 :
Kwan huyu ni msemaji wa nan
2026-08-27 12:42:40
0
user2081046135400
James Alfred :
kwani demokrasia ni nini ❓
2026-08-27 12:47:43
0
official_nino162
Being_nino🤏💓 :
mbona kabla hajajiuzulu hamkusema hayo maneno namkampa nafas
2026-08-27 06:41:44
0
jesus.kuhoda
jesus kuhoda :
huyu mwamba huyu ni mtu wa umuhim sana anajuwa kutetea amani ya taifa lake sio poa ongela tutaimba ukifa mzee asante sana. raisi samia inamponza kaz na utu 🥰🥰🥰🥰
2026-08-27 14:28:58
1
user283844804321
simba :
yaaaani mama samia ukumuona kweli nchimbi afai kabisa ,sasa ndio kaziirisha kwqmba sio mtu mzuri
2026-08-26 20:10:02
2
bushirigoma130
Bushiri Goma255 :
sasa sikuzote mrikua wapi kutuambia aya waeshimiwa
2026-08-27 12:37:43
0
marrymanka423
Marry Mankawinner72 :
ameshajiudhuru,mmefukuza mwacheni aendelee na maisha yake siasa za.visasi.hizo
2026-08-26 21:11:47
2
jacobfasha
Emperor👑👑 :
Huyu kunakitu hakijui ccm walikataa kukigawanya chama kwasababu lowasa na membe walikuwa na nguvu karibia sawa ya ushawishi so ikabidi wawadropdown na kumpa nafasi mtu aliyekuwa haimbwi ili kustablize mambo sasa huyu anaropoka tu
2026-08-27 07:30:04
0
katwe43
katwe :
ALITUMIA HAKI YAKE KIKATIBA
2026-08-27 06:17:47
0
bderocky
BDeRocky :
nashidwa kwelewa.
2026-08-27 11:57:25
0
nicksoprudens
Nickso Prudens :
kwani we upo upande gani
2026-08-27 13:46:34
0
emmanueljacob3207
Emmanuel Jacob :
kaka kua n akiba ya maneno
2026-08-27 13:19:02
0
steves7611
SteveS :
watanganyika bana🙌
2026-08-27 12:18:12
0
georgemakiri1
georgemakiri1 :
Waambie CCM.Acha kelele
2026-08-27 12:37:30
0
To see more videos from user @cwgchiwaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About