@frank.25106:

Frank @25🇹🇿🌍💫💫
Frank @25🇹🇿🌍💫💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 18:41:46 GMT
151902
6258
1625
105

Music

Download

Comments

its.sarha8
it's sarha :
nikiingia geto anaingiza ndala zangu ndanii
2026-10-13 19:02:29
234
user3381739940817
sweetbertha 🇹🇿 :
mm nilimwambia kama utani tu et" naisi wewe hunipendi "akasema Imani Yako imekuponya 🥹🥹
2026-08-28 06:26:40
910
hopehapie
happie💝 :
alisema Kam ninaharak na ndoa niolewe tu yeye bado hajajipanga😂
2026-10-13 17:56:56
130
ashifamsuya95
Gemini ♊♥️ :
aliniambia mtoto wake wa kwanza atamuita jina langu nikawaza mama na mtoto wanakuaje na jina moja nikasema baaas 🤣
2026-10-14 11:33:58
147
mchg36
mchg@36 :
tunaompenda mungu tujuanaa
2026-10-16 06:01:31
44
ven79969
Viola 🧚 :
nikimuomba hela kila ck sina Alf ananiita tajiri
2026-08-28 10:45:04
328
flamingovicent
Flamingo🦩🥀 :
nilim challenge nina mimba akasema nitoe nikamtoa yeye kwenye maisha yangu siwez date muuaj😂😂😂😂
2026-10-13 17:45:46
121
user901304312100
mngoni og🤗🤗 :
alipost watoto wake nilipo muuliza hawa n wakina nan akasema n Wana simba
2026-10-14 14:24:01
47
aishamsenda888
sidra aish🧚‍♀️ :
nikiend kwake ananiambh nitoke kabla watu awajarudi😂😂😂 wasije kuniona😂😂
2026-10-17 07:51:43
9
hursh41
thuva🤣🤭254🥰😘 :
aliniambia nisije vunjika mgongo bure nikakosa kuolewa
2026-10-17 10:37:47
6
ansellah6
Ansellah :
aliniambia mwanaume atakaye kuoa ana bahat san
2026-10-14 12:54:22
34
nancy.cute88
Nancy- cute :
aliniambia ananiombea nipate mume bora ila nikimpata nisi msahau🥺🥺
2026-10-12 19:23:31
20
bintimpole07
Luciana 💜🦋💜 :
aliniambia umri umeenda nitafute mtu wa kunioa sasa😂😂
2026-10-14 20:22:39
5
vailethdaniel40
Vaileth Daniel :
alniambia nifanye vyote ila nisishike mimba😥
2026-10-13 09:32:11
14
prisilambogela
Prisila Mbogela :
aliniita WEWE😳
2026-10-14 10:12:25
5
halima.hemedi52
halima hemedi :
saiv nipo naomba niend geto kwake hatk
2026-09-07 08:51:55
5
linacosmas456
Lina 😍 :
nizalie kwanza ndio nitakuoa 😂😂
2026-08-30 09:00:34
7
reida.queen
Reida Queen :
Aliniambia ananiombea kwa mungu nipate mwanaume atakaye nipenda na kunijali
2026-10-13 18:19:55
6
user1492066027027
LB cutie💕 :
aliniambia ukilata mtu we olewa tu😳
2026-10-13 16:44:32
38
egongabriel455
zacharia Gabriel🇹🇿 :
mm ni demu wangu tuna miaka 3 kwenye mahusiano na Hadi Leo hajajua kama Sina mpango wa kumuoa🤣🤣
2026-09-07 08:15:27
65
estheremmanuel252
estheremmanuel9430 :
mim aliniambia atakae kuoa anaraha sanaa na nitakuja kumwona
2026-09-09 10:26:07
5
aimableoseyaeric
Vinijr7 Aimableofficial2 :
sasa hapa watu wanajiuliza kwanini huu wimbo wa Rose Muhando hau endeleei, kumbe awajuwe kama ndo naendelea kusoma comments za wasichana hapa😂😂😂😂
2026-10-10 12:58:27
7
angel.lameck66
Angel Lameck :
Aliniambia et atakaekuoa atapata bahat nilishangaa🤔😪💔🙆
2026-10-07 13:14:07
6
odomwijng
🌸Miss T🦋 :
Anapenda michezo lkn ahudumii jmn uwiiii🤣😂😂
2026-10-05 14:13:42
44
usersareally
user9715066164502 :
alnmbia yye mwenyew km ntpt mtu niolewe tu
2026-08-27 20:25:55
52
To see more videos from user @frank.25106, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About