🤣🤣🤣jamani wenzio Kila siku wanakata mitaji wanaanza upya
2026-08-27 12:30:43
4
ritah🇺🇬🇹🇿😘 :
alaf Kuna boss wangu kwa sku tunauza 500k bdo analalamika🙌🙌
2026-08-27 14:53:28
2
#ndani YAKO Kuna NDOTO 💕💯 :
unakopa unategemea lejesho kwa biashara ..biashara kwa miaka5 ya mwanzo lazima mmeo akusapoti .Kuna mda mzigo unaisha ela huna ya mzigo Wala ya Kodi😄😄🤣🤣🤣 alooo .sante MUNGU kwa mme wangu anaeijua tabia ya biashara hajawahi nitelekeza uwiiiiiiii
2026-08-27 09:18:05
2
Selvina Sanga :
ngoja niendelee kufany kazi za ndan nilipwe mshahara
2026-08-27 13:26:26
1
debbycrean :
😄😄😄😄nimecheka kama mazuri mim ndo maana nimejiajiri mwenyewe mtaan
2026-08-27 06:59:50
0
Rehema underwarestore :
Hiyo ni kwelii 🥺Naijua hiy tunapitia wengi now k koo anyamaze tuu 😔😔
2026-08-27 08:40:52
2
Powergrid Solar Tanzania :
wateja mko wapi mbona siwaoni😂😂😂😂mlinidanganya
2026-08-27 10:03:31
0
bhokechagati :
Huo mchezo hauhitaji hasira piga moyo konde leo kwangu kesho kwako
2026-08-27 16:23:41
1
Ms latifa🥀 :
alafu kuna mtu ananishaur usikimbilie ujenzi jiajir we usinishaur utanichanganya hera yenyew ya mwarabu 😂😂😂😂😂
2026-08-27 18:55:07
0
mama brand :
yaan
2026-08-27 14:34:27
0
SASHA RYAN :
nyie mje mniungishe pochi mwenzenu nachechemea hali mbaya
2026-08-27 18:54:41
0
Neema John :
mbona mnatuogopesha
2026-08-27 16:33:11
0
Mwajey Salum :
🤣🤣🤣🤣POLE MWAYA TENA KKOO ACHA TUU MUNGU ATUSIMAMIE
2026-08-27 18:49:34
0
Unique♈️ :
Poleee😂😂Karibu tulie wote
2026-08-27 16:31:39
0
faudhia 🌹🌹 :
😅😅😅😅😅😅😅 kwahiy na mm nijiandae kulia
2026-08-27 13:18:11
0
asifiwe kilas :
ila wew
2026-08-27 13:40:57
0
zawadi Home decor :
hivi anajua kuna TRA, service levy, kuna usafi kuna pango 🤣🤣
2026-08-27 19:06:04
0
Ze Leo Kids fashion ✨️ :
Pole kipenzi, biashara inahitaji uvumilivu sana, sio rahisi kutoboa kama utakuwa sio mvumilivu, ila pia nimependa content yako itakufanikisha usipo kata tamaaa🥰
2026-08-27 20:04:14
0
fikira Michael :
sasa situna pesa yani kila sehemu biashara ngumu mimi sielewi pia
2026-08-27 13:48:18
0
Theopista Chuwa :
jaman mambo ni nimangum mno
2026-08-27 15:55:09
0
Najmaah Muislam girl ❣️ :
😂😂😂
2026-08-26 18:50:18
0
To see more videos from user @binti.kigomatv, please go to the Tikwm
homepage.