@goezzy001: Je, unazijua maana za alama za barabarani? 🚗🚦 Katika hii post utajifunza alama muhimu kama: 🛑 STOP 🚦 Taa za kuongoza magari ⚠️ Tahadhari mbalimbali ↔️ Barabara ya mwelekeo mmoja/miwili 🚫 Hairuhusiwi kuingia, kuegesha au kupita 🔄 U-turn 🚸 Kivuko cha watoto na pedestrian 🏥 Hospitali mbele 🚧 Kazi za barabarani ⚡ Maeneo hatarishi #CardymicsTz #AlamaZaBarabarani #RoadSigns #DrivingTips #JifunzeKuendesha