@bbcnewsswahili: Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania CCM imeadhimia kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchini hiyo Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. - Nchimbi, alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma kupitia mtandao wa kijamii Agosti 25, 2026 ambapo baadaye Rais Samia suluhu Hassan aliridhia #bbcswahili #foryou#fyp #tanzania#CCM

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 19:50:54 GMT
18193
829
96
67

Music

Download

Comments

mohamedhuseein11
V12 :
That is nothing to him , for speaking the truth!!!
2026-08-26 20:34:06
0
binsimbatz
dalalit_tabata :
naomba kuuliza eti game ya coastal na simba ni lini?😳😳
2026-08-26 20:20:43
18
thegreat12345667
The great@2026 :
hv mbona sikuiz hta sishibi
2026-08-26 20:24:50
11
ellybl
EllyBL22 :
Kauli ya Lissu leo
2026-08-26 19:54:55
17
costantine77
KITEMBE JR :
sasa kama umakamu tu kajiuzulu ataki sasa chama kitamsaidia nini tena
2026-08-26 20:21:25
25
alfred.kahwa
Alfred Kahwa :
Why are you laughing
2026-08-26 20:06:19
0
eliusbaraka20
Elius Barak@20 :
hellow guy's nawakumbusha kwenye comment msiandike kile unachokifiria kichwani nawapenda😂😂😂
2026-08-26 20:30:56
7
queenjey22
Queen jey :
nimesikia lisu anasema et peleka moto
2026-08-26 20:25:42
7
ye57340
ye :
eeheeee😁
2026-08-26 20:28:09
0
bajunior66
Ba junior :
wacha weeeeee
2026-08-26 19:57:44
1
mbaroukseif7
chani :
ccm Ina laaana nearly to die
2026-08-26 20:04:51
20
user75950678679833
maniggah :
hii ndo maana halisi ya kazi na utu✅
2026-08-26 20:21:36
6
gentleamo01
gentleamo01 :
Ccm aise sijui mmelogwa na nini? Yan mnashangaz san aise mtu akiwa upande sahihi ni adui yenu bila kuficha yani waziwazi.
2026-08-26 19:56:13
6
luluj154
Teacher Lulu :
mnafukuza mtu mkubwa kama Mwizi
2026-08-26 20:47:59
1
salmanfastest
team Tz :
tupo pamoja na mama samia oyeee 😍😍😍😍😍
2026-08-26 20:47:07
3
user7463278123571
user7463278123571 :
Asha ana PhD kwa hiyo anaelewa na snaamini anachosema
2026-08-26 20:01:02
2
cool_beetz
It's coolbee :
Mmechelewa😁😁
2026-08-26 20:13:21
3
mkaka355
Mkaka :
Mienendo iliyokiuka kanuni zao za kutotaka KATIBA MPYA milele - wameamua kumfukuza uanachama.
2026-08-26 20:22:06
4
dar_picha_safi
DAR PICHA SAFI :
2026-08-26 21:01:17
1
musa_saleh5
A :
Safi sana
2026-08-26 20:29:21
1
onesmoginwe
Onesmo Ginwe :
sio kufukuzwa ni kufutiwa uanachama
2026-08-26 20:19:52
3
cdptraveler
Your Friend Traveler :
2026-08-26 19:57:23
2
phckiran.200
Phckiran 200 :
Tulishajuwa
2026-08-26 20:12:35
2
little_vin10
@Little_ Vin🧸 :
nashindwa kuelewa
2026-08-26 20:23:40
5
mchunguzz
SHAFII💀 :
sasa unamtabasimia Nani ap
2026-08-26 20:06:54
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About