@oscar_mkatoliki: PART 01: JE KUSUKA NYWELE KWA MWANAMKE NI DHAMBI? Mpendwa katika ndoto yangu ni kuwatengenezea maudhui yenye ubora mkubwa zaidi ili yafikishe ujumbe Kwa namna sahihi zaidi; Kama unatamani kuwa sehemu ya utume huu wa uinjilishaji kwa lugha ya Kiswahili, unaweza kuniunga mkono kupitia: +255 750 327 323 Jina: OSCALIUS ELMES NIHONGATAILE. Kama ukishindwa kuchagia basi sala zako na matashi yako mema ni muhimu sana ili kuhakikisha utume huu unasonga Mbele. Mungu akubariki sanaa. #Oscar_Mkatoliki #OscarMkatoliki #KanisaKatoliki #TafakariYaLeo #InjiliYaLeo #NenoLaMungu #ImaniKatoliki #CatholicTok #MisaYaLeo #kanisakatoliki #TumsifuYesuKristo #fyp
Mi navyoelewa kwamba navyojipamba nje napendeza it means na matendo yng yawe ya kupendeza hivyo hivyo roho safi tabia njema na matendo mema ya kumpendeza Mungu
2026-08-27 05:09:26
161
Elicious :
wachungaji wengi wanasoma neno na kulitafasili wanavyojua wao na c kwa hekima zake Mungu
2026-08-26 22:10:23
48
Phina♥️💞💕 :
Umetufundisha vizur san walio elewa tujuane
2026-08-27 12:37:18
31
Ntogoro the flyangel :
Kaka Oscar nakuombea Mwenyezi Mungu azidi kumuimarisha ☺️☺️
2026-08-27 03:54:49
76
estermbalay :
kwa mara ya kwanza nmepata mtu mwenye uelewa kama wangu mungu akubariki sanaa 🙏🙏
2026-08-27 07:43:21
83
Elizabeth ndigonje :
hili somo nilikua nasubir Kwa hamu sana mungu akubariki sana
2026-08-27 07:21:32
22
fighter_mc :
acha kuhalalisha dhambi bro
2026-08-27 07:20:52
14
❤️🔥💗a'm🦋luchii😅🥰💧 :
asanteee
2026-08-28 21:17:40
0
Zack kahindi :
walawi 19-27 walawi21-5 petro 3-3 wakorintho 11-14-15 na timotheo 2-9
2026-08-26 21:32:26
6
Agness💝 :
Ilo somo nilikuwa nalisubili uliongelee maana uwa linanichanganya atimae limenifikia ubarikiwe sana
2026-08-27 07:03:22
7
Ras_Traveller🛫 :
je ,huo walaka nikwawatu wote au ni walaka kwa Timotheo
2026-08-27 07:24:58
5
zechjm :
tatizo tunataka kuhalarisha dhambi
ni heri kufanya kosa ukakiri unakosea kuliko kulihalarisha maan kosa litabaki kua kosa hata ukitafuta sababu
2026-08-27 09:05:56
6
Lightness :
kaka sna tu ela ila ningekupa soda tena pepsi
2026-08-26 23:18:58
10
Mariam Malale :
Amina 🙏 sema tupone kaka
2026-08-28 08:56:10
0
Kapande 1 :
yaan kutafsiri neno ndo kunakuja kuwa shida yaan ila huyu nimemuelewa kama ambavyo Huwa naelewa
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo Maana ndiko zitokako chemichemi za uzima mithali 4:23
utume mwema
2026-08-27 10:46:50
5
@MichaelNzelani :
Ubarikiwe bro shida wanaosoma wanasoma katkat bila kusoma mwanzo mpaka mwisho 🙏
2026-08-26 21:05:03
6
MWENYEKITI WA WAHA :
sasa lini mkatoriki akayajua maandiko wakati mnasomewa andiko moja kwa siku taifa zima na hamruhusiwi kua na biblia !!!! Watakatifu wasafiri wa kwenda mbinguni biblia iko wazi sana kwa kila kitu usisubiri kusomewa soma mwenyewe na uelewe
2026-08-28 04:35:10
1
Sharo :
Mbona ujumbe wenyewe unajieleza bila kufafanuliwa
2026-08-28 08:25:23
2
🤍𝓖,𝓹𝓮𝓪𝓬𝓮❤️🔥 :
kusuka si dhambi ila dhambi ni kuunganisha nywele asilia na artificial hair
2026-08-27 18:04:47
4
JUSTINA :
je mwanamke kuvaa suruali ni dhambi?
2026-08-27 04:04:56
4
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.