@vibesfm106.5_: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Deograatius John Ndejembi kushika nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kufuatia kujiuzulu na kisha kufukuzwa uanachama kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Jina la Ndejembi sasa linatarajiwa kuwasilishwa Bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura, na endapo litapitishwa atakuwa Makamu wa Rais Mteule baada ya Dk Nchimbi ambaye alijiuzulu hapo jana.

VIBES FM
VIBES FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 August 2026 21:01:16 GMT
2807
65
0
7

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @vibesfm106.5_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About