@dalalimusomamjini: 🗣️ INAPANGISHWA * Chumba master | sebure | Jiko * Bei 200k * Malipo kwanzia miezi mitatu * Parking ✅ * Maji & umeme pekee yako * Nyumba ipo MAKOKO ⚠️ UTARATIBU WA DALALI * Pesa ya survey 10,000/= ikiwa usafiri juu yako ila kama usafiri juu ya dalali 20,000/= Mpaka 25,000/= kutokana na nyumba mteja atakazotaka kutembelea kati ya list za nyumba tutakazo mtajia * Malipo ya dalali sawa na ghalama ya pesa ya nyumba kwa mwezi 🔨 #KABANJA | ☎️+255715096040