@chiefgodlovetycoon:

chiefgodlovetycoon
chiefgodlovetycoon
Open In TikTok:
Region: UG
Wednesday 26 August 2026 22:40:23 GMT
28990
2256
671
50

Music

Download

Comments

geoffreyguto5
Geoffrey :
i will call chief godlove to show me the way for guidance because i don't have experience.
2026-08-27 12:32:39
0
milion731
Wuod Odhiambo :
Ok I don't know if ni Kenyan money ama Tanzanian,but for me am Kenyan if I have 20M Kenyan shillings first is upgrading my life from level 1 to the highest level possible by doing the following 1. Start investing in businesses eg Mitumba business 2. Having a new look 3. Investing more and more on other businesses
2026-08-27 11:57:42
0
user9814453902826
Beatrice :
20million Kenya shillings nanunua plot najenga golofa rentals
2026-08-27 12:33:53
0
ednakwamboka26
Ednah :
if it's Kenya money,,, definitely will improve,built n establish myself
2026-08-27 05:49:24
1
user6100235109354
user6100235109354 :
business
2026-08-27 12:05:37
0
officgee
Official Gee :
jamaa anatafuta idea kwaiyo uki mention anapita nalo so hakuna Cha milioni 20 anakupa apoh
2026-08-27 06:16:38
11
dj_digidigi
MR DJ👑👑 :
Ni Vitu Private, plan yako sio kila mtu ajue
2026-08-27 01:53:13
16
lastborn_mom065
lastborn mama🤪 :
Kama nikipata mtaji wa TSh milioni 20, ningeanzisha restaurant ya kiwango cha kati yenye usafi, mazingira mazuri na huduma bora. Ningewekeza kwenye kodi na deposit, ukarabati, vifaa vya jikoni, samani, vyombo, stock ya kwanza, leseni, matangazo na mtaji wa uendeshaji. Menu ingekuwa na vyakula maarufu kama wali, kuku, nyama, pilau, chips, ndizi nyama, ugali, maharage, pamoja na juice, soda, maji, chai na kahawa. Ningezingatia ubora, usafi, bei nafuu na huduma nzuri, huku nikitoa takeaway. Ningechagua eneo lenye watu wengi, karibu na ofisi, shule, vyuo au biashara. Kwa usimamizi mzuri wa fedha, location nzuri na chakula bora, restaurant inaweza kukua na baadaye kutoa huduma za delivery na catering.
2026-08-26 23:16:29
5
peter_mwamkai
peter_mwamkai :
Naomba upitie ya kwangu Nimekutumia kwenye Inbox. Nimeshindwa ku record vidoe kwa mda huu.
2026-08-27 09:34:01
1
oresther101
60 :
1. Natengeneza lami 10Km. 2. Najenga hotel kubwa ghorofa 13. 3. Najenga apartments 3 halafu napangisha. 4. Nanunua Mabasi 10 naweka kutoka Dar hadi Kigoma. 5. Itakayobaki nanunua duka na Niffer cosmetics.
2026-08-27 11:36:45
0
avealmasi
ave :
nanunua pikipiki 20 bajaji 2o najenga nyumba nzuri nafanya biashara na usafir nilizo nunua zinakuwa zinaingia barabaran
2026-08-27 08:49:20
2
user8832173815575
jr bk :
kwangu Mimi ntanzisha ufugaji kati ya mbuzi, kuku au ng'ombe
2026-08-27 08:46:28
1
gloire.bonne
gloire bonne :
kwanza nikununuwa parcelle yakuifazi famille pia kufungula biashara km vile Duka yabiashara
2026-08-27 04:18:49
1
barakaobama105
barakaobama105 :
ku nunua uwanja na ku jenga nyumba
2026-08-27 06:04:13
1
keyvvany
keyvvany :
Kama nitapata million 20 kwanza natafuta location ambayo itafanyika biashara na kuangalia biashara ipi ambayo itawezekana kuingiza faida kubwa na biashara ambayo itakuwa inapendwa na watu sehemu husika Kwa mfano buza Abiola ni sehemu pazuri Kwa investment ila ni sehemu ambayo inakaliwa na watu different community so Kwa pale biashara kubwa ni kuinvest biashara ya gas na nguo ndio ina mzunguko mkubwa sio apo ata Kwa azizi ally pale pia for investment pia Pako poa location imetulia na unawatu wengi pia wanafunzi wapo kama wote
2026-08-27 08:53:39
0
elisha0065
DR ELISHA @ PHYSIOTHERAPIST 🥼 :
Mi ntafungua medical laboratory 20 million inatosha kila kitu
2026-08-27 08:44:21
0
omarykimaro169
Omary Kimaro :
20mil nitawekeza kweny kilimo
2026-08-27 09:11:45
0
12espoirembawe
glody rmg :
na anaza ku mtibiya mama yangu ni mgonjwa Sana ilo ndilo itaji langu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-27 08:14:08
1
user9022043137137
isaa boy tenga :
mimi ni NTA funguwa miachara
2026-08-27 05:07:00
1
kiddo0471
@Kiddo04 :
Cha kwanza, Ni KUTOA pesa chache kama sadaka ya kushukuru kweny kituo cha Kulelea Watoto yatima Maana Haikuwa rahc kupata hiyo hela. Nyingne ntaanzisha biashara
2026-08-27 08:00:15
2
albogaxtlasway
Albogaxt Lasway :
nitafanyia biashara na kama itabaki ela yenye uwezo wa kununua usafiri nitanunua ili nipate usafiri waile miladi niliyo wekeza
2026-08-27 07:00:40
1
fundi29_magaritz
Omary Juma bakari :
unatafuta mawazo ya biashara😁😁
2026-08-27 07:27:58
2
arry.boy19
arry boy 🛺🤙🫰👆💯😄😄😄😄😄 :
cha kwanza kabisa nitamshukuru mungu kwakuwa yeye ndo kira kitu hapa duniani hafu cha piri nitaangaria mbele je nifanye kitu gani au biashara gani iri izarishie hera nyingine tena zaidi ya ire niriyo nayo tena mara mbiri yake nyingine zaidi ya ire niriyo nayo nitaigawa katika sehemu 3 ya kwanza kabisa nitanunuwa tumbaku iri niuze rakini sito subiria paka nije kuuuza tumbaku nitaangaria je hapo katikati ya hiyo miezi nishamariza kununuwa tubaku haya nasubiria kuuza je hapa katikati nakuwa nafanya kazi gani nitanunu pikipiki tatu moja nitakuwa natumia Mimi hafu hizo mbili Nitazigawa kwa mkataba najuwa unaerewa bana kama inatakiwa ndani ya mwaka mmoja au na nusu kira siku wawe wananiripa shingapi kama unavyo juwa pikipiki za mkataba huwaga zinafaida zake kuringana na mrivyo kubariana kwenye mkataba hafu inayo baki nanunuwa mazao sasa nitaangaria je ni zao gani ambato harina. vipengere vingi mfano kupuriza dawa mara kununuwa mifuko ya tabaka tatu au kubunguriwa je nikiriweka ndani ya mwaka mmoja au miwiri harito pata madhara yoyote nitaangariaaaaa weeee nitakuja kungundiwa ni mpungu kooo nitanunu hata ziwe gunia 100 au 200au ni sawa najuwa zitatosha ra nyongeza kabisaaaa nitamuomba Mungu wangu anitangurie mbere katika mambo yangu yote ninayo fanya Asante.
2026-08-26 23:49:34
2
mr.santeh_jm
Mr. Santeh :
Binafsi Nina ujuzi wa photoshooting pamoja na video recording hivyo kwa mtaji wa mil.20 ningeongeza vifaa vyote kama camera kubwa 4k,stand ya camera , 📸 , pia ningenunua printer kwajili ya kuprint pcha aina zote Hadi pichambao. na vifaa vingine vinavyohitajika katika maswala mazima ya photoshooting and video production.pia nashukuru Mungu frem ipo kwaio ningeongeza na cash point (huduma za miamala) kiufupi ni hivyo.
2026-08-27 08:15:46
1
stephano.petro8
stephan :
mimi ikitokea nimepata hiyo pesa kulingana na kazi niliyo nayo ya ufundi 1.lazima nitafute sait nzuri 2.nitafungua hardware yangu 3.nitaandaa usafiri kwaajili ya mteja akichukua mzigo na hakikisha unafikia 4.nitahakikisha material ambayo hayapo kwa wengine mimi yatakuwe kulinga na mtaji wangu 5.nitakuza biashara yangu kulingana na uzalishaji.
2026-08-27 06:18:50
0
To see more videos from user @chiefgodlovetycoon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About