@oneminutewithsheikhjamal: Usiogope watu wanapokuongelea vibaya. Allah anajua ukweli, na Yeye ndiye Mjuzi wa yaliyofichika na yaliyo wazi Kuwa na sabr, na mshikilie Allah, ahadi yake ipo, na nusra yake ipo Allah anasema “Na bila shaka tunajua kwamba kifua chako kinabanwa kwa yale wanayoyasema. Basi mtukuze Mola wako kwa sifa Zake, na uwe miongoni mwa wenye kusujudu. Na muabudu Mola wako mpaka yakufikie yakini.” 📖 Surah Al-Hijr 15:97–99 #trendingvideo #oneminutewithsheikhjamaludin #fyp #sabr #islamicreminder

OneminuteWithSheikhJamaludin
OneminuteWithSheikhJamaludin
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 27 August 2026 02:18:21 GMT
27711
6508
41
490

Music

Download

Comments

nisha.da.happy.gw
NISHA ART ❤️ 😍 :
may Almighty Allah grant us sabr ya Allah 🙏 ✨️
2026-08-27 02:22:19
7
ummyzayn8
swaum :
Mwenyezi Mungu wewe ni mwenye kusamehe na kusikia na kujibu maombi yetu,nakuomba unijaalie subra na mwisho mwema Amin
2026-08-27 05:27:04
18
hamid.mambasa.ndi
Hamid MAMBASA NDIO NYUMBANI :
ALLAH akuhifadhi SHEKH jamaluddin
2026-08-27 05:01:31
6
xgamertechnologies
XGAMERtechnologies :
mwenyezi mungu atujalie sabr🤲🏽💯
2026-08-27 02:24:18
4
chanto9933
chanto :
ndio.subra.inaleta.heri🥰🥰maasha.allah
2026-08-27 05:15:29
3
user5766657612544
user5766657612544 :
Alhammdulilah Allah
2026-08-27 04:45:52
3
maria.ivone.teixe1
Maria Ivone Teixeira :
Allah Allah Allah
2026-08-27 05:09:43
2
manuchorayan
manuchorayan :
Ameen yaarab
2026-08-27 05:05:24
2
noormary_skincare
0️⃣7️⃣1️⃣3️⃣1️⃣4️⃣0️⃣5️⃣0️⃣6️⃣ :
sawah 🤲 🤲
2026-08-27 05:21:47
2
nasramsolopa
Nasra msolopa :
Inshaallah
2026-08-27 04:48:57
2
alumakhalid
Aluma Khalid :
Ameen
2026-08-27 04:46:42
2
darusidarusi
Idrs :
🥺🥺Insha Allah
2026-08-27 04:46:10
2
rojas_abejux
Rojas_abejux :
Hakika AllahAnatosha 🙏
2026-08-27 03:23:36
2
hiluu_fashion
shop_with _ruwaatif. :
ameen yarab
2026-08-27 03:24:18
2
user6510781224502
nasra :
amiin ya raaby
2026-08-27 03:53:57
2
mdas6892
mdas ... :
barakAllah....
2026-08-27 04:57:46
2
zamda944
Zamda :
Amina
2026-08-27 06:22:12
2
hiluu_fashion
shop_with _ruwaatif. :
Alhamdulillah
2026-08-27 03:24:12
2
_error147
Account not found :
Ya Allah😭🤲🏽
2026-08-27 02:27:48
2
user6510781224502
nasra :
Assalamu alaykum warahma tuwah wabarakat sheikh jamaludin nimekufollow nakuomba uaccept
2026-08-27 03:53:25
2
sweety_2237
sofiya ✨️ :
🙏
2026-08-27 04:58:53
2
yusouph6
Yusouph :
amen
2026-08-27 11:40:33
0
yslam.awadh
yslam awadh :
جزاك الله خيرا
2026-08-27 11:24:30
0
zulzalatramadan
zulzalatramadan :
mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah beautiful ❤️😍 💖 ♥️💕
2026-08-27 16:44:36
0
To see more videos from user @oneminutewithsheikhjamal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About