@hajjathamida: DUA YA LEO Ewe Mola wangu, leo naomba uufanye moyo wangu uwe na utulivu, riziki yangu iwe na baraka, na kila jambo linalonihusu liwe katika kheri. Nisitiri na shari nisiyoijua, nilinde na huzuni isiyonifaa, na nifungulie milango ya rehema, afya, furaha na riziki ya halali. Ewe Allah, nilichokikosa usinifanye nikione ni mwisho wa maisha yangu; nikumbushe kuwa kwako kuna zaidi ya nilichopoteza. Aamiin Ya Rabbal ‘Aalamiin #fyp #viral #muslim
UKHTY HAMIDA
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 02:31:15 GMT
Music
Download
Comments
Muddy :
amin amin amin amin
2026-10-15 20:43:56
0
popo🤩🤩 :
Allah Allah
2026-10-16 08:47:28
0
zai mandia :
Ameeen thumma Ameen
2026-10-16 07:42:41
0
Pauline Aisha :
hii dua inaitwaje please
2026-08-28 14:01:39
41
Ringo the 1 :
naomb unitumie hi
2026-10-15 22:01:50
0
Asha said loffy :
YARAB TUONDOLEE HASAD TUONDOLEE MITIHANI , WAPE FAHAMU WATOTO WETU
2026-09-03 16:06:19
82
Fatuma Abdallah :
Amiini yaraby amiini 🙏
2026-08-28 03:29:25
75
Swalehe Mwarabuu :
yarab mola wangu nifanyie wepesi katika kila kusudio langu la kheri liwe na wepesi kwa idhin yako
2026-08-30 10:03:49
17
Anwar Hassan :
amiin ya Rabbi
2026-08-28 07:47:51
8
Amtaf daa cute :
Ameen thumma ameen 🤲
2026-08-28 06:41:09
5
Sahir Fauz :
amin amin amin amin
2026-10-14 20:17:18
1
wapitti courageuse :
Allah Allah
2026-10-16 11:12:56
0
Learned amour mo. :
Allahumma amiin
2026-09-03 20:41:52
8
Zay_mkwizu :
Amina yarabi
2026-08-28 03:58:20
5
Nuru_rashidy :
amiin amiin
2026-08-28 08:06:16
5
Rayzo~ kidd ⚡👑 :
Amin
2026-08-28 08:15:32
26
Beatus Paul :
ALLAH 🙏🙏
2026-08-28 06:41:44
12
Nana😍😍 official :
allah
2026-08-28 07:32:06
7
Amina shabani :
amin thuma amin
2026-08-28 07:40:45
5
Fatima :
Amiin ya Rabby
2026-08-28 06:33:12
9
barbie maah🥰 :
🙏amen 🙏
2026-08-28 06:35:31
10
Minah 16 :
jaman nikiisikia hii dua mwili una nisisimka sana na kujihisi kulia ndugu zang sielew ni shida au anaejua anambie plzz
2026-09-02 04:44:37
9
kidoti :
Amiin
2026-08-28 03:14:26
6
Mama samia 🍭 🦁 👜🍎❤️ :
Ameena
2026-08-28 06:58:40
5
hidaya kinyanyile :
Amiin rabil amini
2026-08-28 05:13:27
18
To see more videos from user @hajjathamida, please go to the Tikwm
homepage.