niukweli mtupu njombe imebarikiwa sana tena wako wengi sana mashamba ya wazungu wamewekeza na wanavuna pesa nyingi sana ukifatilia sijui tunafeli wapi kwenye hesabu na tunawatu wanamiliki mbaka Ma BI yapesa ila hawajawahi panda hata ndege,!!!! ivi wanakuelewa kweli kwa unacho waelekeza watanzania??
2026-08-27 20:41:28
1
Rich Rogers :
well!!!!
2026-08-27 09:12:51
0
Jimson Mtweve :
mku wa mkoa kazi nzuri ila shida mtaji Kwa vijana
2026-08-27 06:59:38
0
James Dietram :
uko sawa kutukumbusha ila Ishu ni mtaji tunaanzia wapi of course mm mwenyewe binafsi nataka kabisa nishinde shambani
2026-08-27 10:40:55
0
Ibnu Husseini feruzi :
haya mdio mambo ya msingi kutulegea hongera
2026-08-27 09:15:25
0
sakina :
mimi ninakuelewa sana hm na nina mikorosho 500 masasi .ninaimani nitafikisha mikorosho 1000 kwa nguvu za alaah
2026-08-27 17:19:21
0
user3003544233451 :
itakuwa madeke hiyo et jamani
2026-08-27 15:19:51
0
To see more videos from user @msumbanews, please go to the Tikwm
homepage.