@talkboutitwithconradley: Mfundishe kuwa binadamu bora. #singlemomsoftiktok #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #talkboutitwithconradley #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights
mnaonaga kama singel maza hatujui kulea..wakati watoto wa singo maza ndo wengi wananidhamu na wanauwezo mkubwa wa kujisimamia...
2026-08-27 05:48:58
42
Veronica Ndagara :
Thanks bro
2026-08-27 08:38:12
0
Naomi Laizer :
niwakumbushe tyu watoto bora ni watoto wa single mother's
2026-08-27 07:17:36
31
Asmaa Maulid 98% :
kwan single mother tu ndo tunafeligi kwenye malizi
2026-08-27 05:37:34
10
Kunda97 :
Asante🤍
2026-08-27 10:46:57
0
Mama shujaa🌹🦋 :
nataman ningekua karibu nae niongee nae kwa upole na utulivu anielewe vizuri kijana wangu
2026-08-27 05:32:30
4
Billat..Beauty :
Imagine nina vijana wawili peke angu🥺
2026-08-27 08:03:37
1
Mishy💕 :
Awo wanao kaa na baba na mama ndo wako denjer. Wana Ona mama akipigwa mama akilia mama akitukanwa sasa wanakuwa na roho mbaya na ngumu heshima inapotea wanaiga tabia dah mungu atusaidie
2026-08-27 06:16:26
2
salma :
mungu atamfundisha mwenyezi mungu akiamua atampa hekima tuu
2026-08-27 05:59:35
1
user3433989850892 :
nitasimama kama mama Asante kwa elimu hii
2026-08-27 05:32:32
1
Eva Edward :
Ubarikiwe sana Najifunza Kila siku
2026-08-27 05:30:08
1
user9781420150053 :
najipa pongezi .
2026-08-27 12:48:15
0
Babymary163 :
2026-08-27 12:29:31
0
Merina 98 :
Fact
2026-08-27 13:11:03
0
🎀 Super Tall 💕 🎀 :
hayo malezi useme ni kwa mama wote malezi hayachagui single au married
2026-08-27 11:59:48
0
Slay_happyness :
I thank God i used to tell them since I wish they will be the real man
2026-08-27 12:43:17
0
Merina 98 :
Watokee Wababa wawili Kama Huyu jamaa Aisee 🙌🫶 Akili kubwa sana
2026-08-27 13:11:52
0
Najma Abdallah :
Asante kakaangu kwakutufundusha ☺️🫶🥰
2026-08-27 12:39:51
0
lily :
asant kwa ushauli kaka
2026-08-27 12:48:02
0
miss gee @416 :
👌👌kabisaaaa asante
2026-08-27 13:43:36
0
Emmy kiday :
asante sana
2026-08-27 11:47:21
0
Benny Geof :
sawa
2026-08-27 04:41:44
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.