Hii video ni AI ukitaka kuamini angalia ukuta na miti mala ukuta unakua mnene wala mwembamba and angalia na miti maana for what i know , Sum ya nyoka haina madhara just because umemla nyoka sum ya nyoka inamadhara pale nyoka anapokuuma thats tunapata tofauti ya VENOM AND POISON , Uyo mbwa angepata madhara endapo angekua nakidonda mdomoni au kwenye mfumo wake wa mmeng’enyo
2026-08-28 02:39:46
10
MASTER JUSTINE :
tusioelewa tujuane
2026-08-27 16:24:35
9
annah :
mbona mm sjacheka
2026-08-27 17:53:53
7
leticia $focused lady :
sijacheka ila nimemuonea huruma
2026-08-29 05:09:46
2
@Aiem elizabeth doyy❤️🦋 :
Tulip huzunika nakuona huluma tujuane
2026-08-28 16:31:32
4
glory💓💯 :
sas hp kuna kucheka jamani
2026-08-27 15:17:13
5
Loveness Enock :
mbona haichekeshi au madeni yangu yanichanganya
2026-08-27 11:24:03
10
jor dani...2005 :
woo pole sana .... jaman tulio umizwa na jambo hili tujuane....😂😂😂
2026-08-27 17:52:32
17
The king killer :
ambao hatujaona cha kuchekesha tujuane
2026-08-28 14:57:53
6
anita _cosmetics :
mbona haichekeshi
2026-08-28 13:47:53
3
عيشة 💋🌼🦋 :
mbona mm imeniliza kama imekuhurumisha like hpa
2026-08-28 17:36:25
1
🦋Summy 💕 :
mbona mm namuonea huruma sasa 🥺
2026-08-28 14:12:16
1
Hassan seif :
tafadhali. ssana tuko chini ya miguuu yako tunaomba pat 2 yaake
2026-08-27 13:57:06
1
Femmy💕 :
pole nawewe unapenda kulakula mno umeona sasa😂🥰🥰
2026-08-28 15:47:55
1
To see more videos from user @vyellaclassicnjombe.fen1, please go to the Tikwm
homepage.