@dw_kiswahili: Tangu Rais Samia aingie Ikulu mwaka 2021, vigogo kadhaa wamejiuzulu, kustaafu au kujiondoa katika nafasi zao. Je, Ni mabadiliko ya kawaida ya kiuongozi au ni kujengwa upya kwa safu ya mamlaka? #DWTunavuma #vumakwakishindo #accountability #politicstiktok
Kwani BOSS anashida gani?? mbona wafanyakazi WANAKIMBIA???
2026-08-27 08:10:17
27
@..Mαq~09 :
There's problems
2026-08-27 11:29:06
0
JAX Young's :
mwenyew natangaza kujiuzulu kulima Maharage maan nimepata hasara
2026-08-27 07:17:36
7
Mindfulness :
ni ya kawaida tu inchi ni ya demokrasia na ni alama ya utawala bora😎, just thinking 🤔
2026-08-27 06:02:56
8
CHUSSE JR :
inshort mtu ukisema ukweli unaonekana muhasi all in all au bas 😂
2026-08-27 08:14:55
7
Mrsswedi :
Mbona polepole hamumsemi
2026-08-27 06:24:54
3
Reybaby23🌹💕 :
Samia ni tatizo kubwa sana ktk
nchi yetu hii Hali inatuumiza nchi ni
yetu sio ya samia na familia yake
na baadhi yawatu anao waweka tumechoka kama mungu unatusikia
ni Bora uridi tumechoka sana
2026-08-27 11:15:53
2
Samwel Ndolomi :
mahind hayapand bei jamn mbolea ghar sana namm najihuzuru kulima mahindi 6000 kwa debe
2026-08-27 09:54:55
2
Ze Biz :
Na mimi nime amia Kenya
2026-08-27 06:13:31
1
@Comrade_01 :
Pole pole mmemuacha wapi???
2026-08-27 06:40:29
1
leedox :
me sina point wafanye wanavotaka me sitaishi tz milele🤣🤣🤣
2026-08-27 07:55:20
1
E'smilē :
Ishu iko iv...utakiwi kusema ukweli
2026-08-27 09:00:03
1
Bin Shaaban Seif :
Na utawala wa magufuli walifukuzwa pia hilo ulizungumze
2026-08-27 11:35:45
0
Joseph Rosse :
Hawataki kupangiwa majukumu na Abdul
2026-08-27 09:37:31
0
@Paxchal Montana :
Mungu naomba huyu anaye soma hii comment Abakwe🥺 🙏
2026-08-27 13:50:15
0
Nuhu Isacka :
mmmh
2026-08-27 06:02:05
0
ISRAEL :
Kuna mahali hapako sawa
2026-08-27 06:06:04
0
M4_mtumbatz :
Nimeandika nikafuta ebu mie ninywe chai 😌
2026-08-27 06:06:28
1
sen kila :
samia na kikwete mungu anawaona
2026-08-27 06:57:10
1
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm
homepage.