Mimi naeza supply material za plumbing, napata contract, nina office iliokua registered na imesajiliwa na VAT pia?
2026-09-10 16:57:07
2
mfalme TUTI :
Oya acha tu nichelewe kwenye darasa lake huyu jamaa namkubali kinoma
2026-10-11 10:00:32
1
dudukwe tours :
nilitakaga kuanzisha kampuni ya ujenzi ila kumpgia fundi niliefanya nae kazi kwenye site akasema saizi hakuna dili ktk kampuni za ujenzi kwa sababu mafundi wapo wengi ni kweli. zaidi sana nimekuelewa na nitavifanyia kazi vitu km viwili hasa hili la kutafta mafundi mm nitakuwa na mafundi waaminifu tu na wanaofanya kazi kwa ukweli na kwa wakati uongo uongo no.
2026-11-03 17:26:08
1
@Siuhi77 :
Sawa Mo
2026-09-19 15:38:45
1
Peter Peter maheto :
Ahsnte sana kaka umenifungua akili japo sina cha kuwekeza kwasasa
2026-08-27 18:51:09
1
Mjukuu!! :
Ok
2026-08-27 07:00:21
2
new :
ahsante sana kaka
2026-09-16 19:11:14
1
Frankie :
Very useful clip 💯
2026-08-29 16:05:47
1
HARIRI COLLECTIONS :
good ideas thanks
2026-09-08 07:45:09
1
Muhammed Ally :
vzr broo
2026-08-29 08:37:47
1
Safari Maps :
Asante sana 🙏
2026-08-27 10:53:11
1
Scholastica|Commercial Lawyer :
very insightful!!
2026-09-01 07:45:12
1
ELX💵💵💵📱💗 :
maboss zangu naombeni kazi
2026-08-27 08:39:14
0
Mtasha business consultant :
Good
2026-08-30 05:59:05
1
God_Salva :
Upo vizuri bro
2026-11-20 20:04:21
0
Fakih~ :
mtaalam Kwa sis safety officer watu WA Sheria za Kaz na usalama mahala pa kazi hapo unatushaurije kwenye miradi?
2026-11-14 16:16:47
0
tkyhome :
Tatizo kuwapata hao makandarasi wakupe fursa hiyo
2026-08-29 11:52:15
1
Promise777 :
@mustiperry
2026-08-28 08:12:28
1
khadjamotivations contents :
🥰🥰🥰
2026-09-03 13:10:51
1
mtoto wa mkulima :
🥰🥰🥰
2026-09-27 18:11:36
0
Esther Nyilenda :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-24 07:55:00
0
To see more videos from user @corporatejunkie, please go to the Tikwm
homepage.