@godwin_shirima78:

Mr.Shirima
Mr.Shirima
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 06:44:35 GMT
61306
5294
343
226

Music

Download

Comments

zephaniasimon608
ZEPHANIA SIMON MAKOBELO :
Anae post hiz video huwa ananifurahisha sana
2026-08-28 07:11:57
104
baby.l621
@baby L ♥️ :
Baba umetuacha mapema sana
2026-08-28 05:36:53
38
isaya.mwakasweswe
Emma2026 :
kidg nianze kulia jmn
2026-08-27 14:56:40
44
user32396618631212
user32396618631212 :
Ukisikia baba ndo huyu sasa mungu hatatuacha yatima atatuletea mwingine kwa sasbabu yeye ndio alimchukua 🥰🥰🥰😌😌
2026-08-28 07:10:16
43
rachelstephen981
Rachel Stephen :
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike Kwa amani 🙏 🙏
2026-08-28 11:21:42
34
luhigo.manyilizu
Luhigo Manyilizu :
mungu hajawahi kumuacha mtumishi wake, tuamini wote kwa imani yetu kuwa magufuli yupo kwa Baba wa mbinguni
2026-08-27 20:06:06
33
jafary.simion
Jafary Simion :
mwenyezi mungu tunqaomba utupunguzie hii adhabu yaweza kuwa tulimkosea huyu baba ndio maan😭😭
2026-09-02 10:04:47
12
marymarenga1
Marenga :
tukiona hivi alafu tukumbuke haya tunayopitia aloo mioyo inavuja damu 😭
2026-08-27 17:41:53
23
neema1457
ney cute :
pumzika kwa amani baba tunakupenda sana
2026-08-27 18:27:53
21
veronicaroberts514
Veronica Roberts :
tutakukumbuka sana kama ulivyo sema
2026-08-27 15:06:22
18
user3267342634326
DR :
we acha tu me nikionaga video zake Huwa nalia sijui kwanin
2026-08-28 11:59:52
8
asia.hilary6
Asia Hilary :
moyo unagugumia nyiee eti nikiona hayupooo tena kwenye hii duniaa mungu tukumbukeee
2026-08-28 09:25:51
5
casetojr88
caseto jr :
unanikumbusha mbali sana
2026-08-27 19:09:11
5
nafsahamis
Nafsa Hamis :
mungu c umfufue eti
2026-08-27 19:06:06
8
user8197007818365
user8197007818365 :
mungu akulaze mahali pema peponi baba🙏
2026-08-28 06:27:08
5
halimaramadhani161
Isam :
pumzika kwa amani baba tutakukumbuka sana
2026-08-27 18:38:16
5
user4772485168384
Elifadhil Mmanyi :
ni rais ambaye alikuwa hana makuu. mnyenyekevu na mpenda watu
2026-08-27 13:43:34
7
elishadaimariki
Elly Andrew :
huyu mwamba aliishi huu wimbo kwa vitendo lala salama Baba
2026-08-27 15:10:39
9
user2429345002542
@𝑴𝒓 𝑰𝒔𝒂𝒊𝒂𝒉 :
yaan rais anasajilia lain mitaan Alf vyura wa mitaani ety wanaenda ofsn
2026-08-29 20:27:45
7
salma.daud23
Salma daud :
jaman nakumbuka mbali sana jaman😭😭😭😭😭😭
2026-08-27 21:29:48
2
user1611094236014
chrisjohn :
hakika tumekukumbuka sana baba
2026-08-28 05:53:31
3
neema.kigomba3
neema kigomba :
pumzika kwa amani sote tu njia moja
2026-08-29 09:26:52
2
vaileth_72
vany :
alikua nakasimu kadogo
2026-09-03 09:34:50
1
mtoto.wa.mara3
MTOTO WA MARA 💪💪 :
tusamehe sana wenda tulishindwa kukulinda japo kwa maombi pumzika kwaamani baba wapilia wa taifa hili
2026-09-03 07:10:38
1
flancemlengo
Flance mlengo :
Daaa inauma sanaaa
2026-08-28 06:20:22
1
To see more videos from user @godwin_shirima78, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About