@ajumyajumiya: NDOA YANGU NA MAMA MKWE 🤣🙏#fyp #viral #comedia #couple #couples #lo #Love #videoviral #yp @MpembaComedy1 @brayzon @Rashid Brown og

Ajumy Ajumiya
Ajumy Ajumiya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 07:36:44 GMT
242561
14933
651
807

Music

Download

Comments

leechen1990
𝙈𝙐𝙎𝙇𝙄𝙃 :
Ntavuka na majibwa 😂
2026-08-27 12:04:48
58
sheilaerastogmail.com
Shakira😍 :
pesa ya kijio ndio nn sielewi?
2026-08-27 17:00:27
11
user9846267925632
amina ussi :
nikweli lakini mama huhudiki kuuliza mkweo pesa ya kijio hee mume na mkee ndio wanajua utkula nn itokee upewe nafasi ya upendeleo uulizwe maa unataka tupike nini Leo hapopia kuongeze useme atakacho sema mumeo mie nisawa au vp waungwana🤣🤣🤣
2026-08-27 09:12:39
78
user4507037963757
Hans :
darasa nzr sana kwa walokuwe kwenye ndoa
2026-08-27 07:51:42
93
mr.ibra.photograph
Mr Ibrah Photography :
kanga imeandikwa ya mungu mengi😂😂😂
2026-08-27 09:31:51
20
alfarsy.mohammed
Funny Rabit :
Mpemba umefanya la maana sana kama anazo ajili atajifunza
2026-08-27 09:04:56
37
omanoman5429
Oman Oman :
kiswahili kigum na kila Nchi na msemo wake pesa ya kijio ni nn wandugu!?
2026-08-28 08:38:49
10
samaylah.baby
Shuu yanga :
mama nae kayataka kwann aombe pesa yakijio😂😂
2026-08-27 15:29:34
50
waziri.mussa53
Waziri Mussa :
Mpemba leo katuwakilisha vyema
2026-08-27 14:16:25
26
drsalum0
『MP๛xmulas004 :
ila jeuri zinzaliwa pemba kosea uone😅
2026-08-28 07:21:37
10
user3087121781395
Muneera❤ :
🤣🤣🤣🤣🤣Nitavuka na majibwa😂
2026-08-27 08:40:01
13
adabertjosphat
Adabert Josphat :
kama unahis navuka mipaka ipo siku ntavuka hadi mijibwa somebody like this please ninamatumizi nayo
2026-08-29 05:44:19
10
user3375759709233
user3375759709233 :
Umetisha mapemba homgera sana
2026-08-27 08:12:59
26
asmaa.mussa
asmaa mussa :
mpemba umetishaaaaaaaaa
2026-08-27 09:09:44
0
mullaomar45
Mulla Omar :
kwani nani mkosa😂
2026-08-27 10:28:43
7
master.silence
Master Silence :
et ntavuka na majibwa 😂😂
2026-08-27 09:41:51
13
some9424
Pa Joe :
Na Ikiwa Kila Mmoja Chungu Chake Ndo Vzuri Zaydi 😂😂😂
2026-08-28 19:57:59
6
abdulwahab92652
Abdulwahab🤫 :
hahahahaaaaa jamaa Hana mwenza zanzibar uyuu anatuwakilisha vyema wanaume😂😁
2026-08-27 12:22:38
16
_lastborn29
last born :
kwan mpemba kakosea nn hapo kumpa mamamkwe
2026-08-27 07:55:04
18
adui.mnyonge
Rashed Mazrui :
nani mwengin kaskia pesa yachujio😁😁😁😅😅😅
2026-08-27 10:40:04
5
abdillahiathuman6
Abdillahi Athumani :
nimependa hii mama mkwe waivi wakomee😂😂😂🤣🤣🤣🫵
2026-08-27 08:38:00
7
user3345325626119
user3345325626119 :
oyooooo🤣🤣🤣uwiii
2026-08-28 19:34:05
2
miraji1585
DIGGO, ❤️ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe wapemba na wadigo akilizao zinafanana,🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 09:12:31
1
user8034614850124
fodhar kii :
mwana kulitafuta
2026-08-28 19:01:56
2
To see more videos from user @ajumyajumiya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About