@official_mr_omy: Maisha ya Ajabu, Mauti ya Ajabu ❤️❤️❤️ Takriban miaka 40 iliyopita, mzee huyu aliingia msikitini 🕌 kabla ya swala na akamwambia Imam: "Kama nisipohudhuria swala mbili za jamaa mfululizo msikitini, basi ujue kuwa nimekufa ⚰️ nyumbani kwangu." Mzee alipoona uso wa Imam umejaa mshangao, mzee alifafanua kuwa hana watoto na mke wake tayari amefariki. Tangu siku hiyo, huyu mzee hakuwahi kukosa swala hata moja msikitini kwa kipindi cha miaka 4️⃣0️⃣, achilia mbali swala mbili mfululizo. Mnamo Julai 2019, mzee alifariki wakati wa swala ya Ijumaa ndani ya msikiti, na kila mtu alishuhudia mauti yake. ❤️❤️❤️ Allahakbar 🥺 Allah atupe mwisho mwema, aamiin #art #artist #artgallery #p
official_mr_omy
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 07:51:36 GMT
Music
Download
Comments
jarijo_J :
allahuakbar Allah atupe mwisho mwema
2026-08-27 14:34:29
13
Muuh :
ALLAH AQBAR 🙏🙏
2026-08-27 17:21:42
1
Chuma Still :
aaamiyn
2026-08-27 17:35:39
0
mayra :
Allah atupe mwisho mwemaa
2026-08-27 16:49:21
8
Babie._Rashma💖 :
Allah atupe Khusnul khatima
2026-08-27 14:21:19
5
Maher :
natamn nije nitajwe kwa wema namna hii
uwe mola tujaalie matendo mema sote tusiwe kama wanyama🥺
2026-08-27 19:54:47
8
Black Beauty..🦋 :
Yarrab tujalie mwisho mwema🤲🤲🤲
2026-08-27 17:15:11
2
Musah M :
Ya Allah Tujaalie Mwisho Mwema Ya Rabb
2026-08-27 17:07:33
1
bebytuma40 :
Amin ya rabi Amin
2026-08-27 14:48:15
1
younghush pappy :
Allah amfungulie
2026-08-27 23:33:20
0
Janfar Aiuba :
allah
2026-08-27 23:48:04
0
Idriss :
kifo cha ajabu??
2026-08-27 22:42:14
0
milan baros :
ameeen ameeen ya allah
2026-08-27 22:57:39
0
HozaMalume :
Hakika MUNGU ni mwema 🙏
2026-08-27 21:16:14
0
𝑩𝒊𝒏 𝑴𝒐𝒉𝒂𝒎𝒎𝒆𝒅 👳 :
Allahuma Aamiin yaa rabbii
2026-08-27 22:15:42
0
ukhty lailaty 💖 :
Allah ampe nuru ktk kaburi lake
2026-08-27 14:28:58
2
Nyangwale🌹 :
allah amsamehe makosa yake
2026-08-27 20:34:29
0
Rashid othman :
amiin
2026-08-27 23:03:46
0
tetemesha :
allahu Akbar🤫🤫
2026-08-28 01:30:00
0
Oyaah :
2026-08-27 20:20:38
0
JumaMashineOnwheels🔥🔥🚛🚛 :
amin
2026-08-27 19:58:53
0
Sadiq Zale :
ALLAHUAKBAR
2026-08-27 20:30:54
0
Allahamdhullillah :
Allahu Akbar
2026-08-27 19:22:18
0
@ItsYaGirl :
Allah atupe mwisho mwema
2026-08-27 19:01:38
0
Aisha chimamy :
Ameen
2026-08-27 21:15:35
0
To see more videos from user @official_mr_omy, please go to the Tikwm
homepage.