walivyo enda ndivyo walivyoludi mungu ukawaangaziye mwanga na nuru yako
2026-08-27 20:07:55
15
mamu :
kuishi mbali na nchi yako haija wahi kua rahisi ukiona sehem hamna amani tena nibora kuondoka na kuanza upya kamwe kuanza upya sio ujinga nijambo la kumshukuru mungu mmerudi wazima na hamna ulemavu wa aina yoyote suala la riski mungu mwenyewe ana njia nyingi za kutoa kuanza upya ni aumuzi wa kishujaa 💪
2026-08-27 18:14:59
16
kibig :
wapelekwe jela mwaka mmoja kwanza
2026-08-28 06:35:05
2
Traveller +255 :
alikiba alikuwa mbele ya muda
2026-08-27 21:25:34
6
Eddo :
Serikali inabidi iwasaidie maana wengi tayari ni homeless hawakumbuki ata vijiji walivyokuwa wanaishi
2026-08-27 09:45:48
8
Kibua kiwango security (K.K.S) :
alikiba wimbo wake ulikuwa unamaana sana
2026-08-28 07:13:44
1
MWAGITO :
ndo muwekee hiyo nyimbo😅
2026-08-27 22:27:32
1
ALHA KIJICHI SWEETHEART🥰👌 :
Wanawake Mbna akuna jmn😁 au ndo mm😁
2026-08-27 23:12:29
1
Nisma_J ❤️ :
Nikatafute mchumba wa pekeangu sas😁😂
2026-08-28 08:04:30
0
Shaban amir :
kunamtu kasema wapelekwe jela mwakammoja kwanza 😂😂😂
2026-08-28 07:59:19
0
Azray :
mnachora watu sio
2026-08-27 19:30:35
0
alfetty :
Bado jux
2026-08-28 04:11:58
0
tickysonog :
Shida sio kufika wanaenda kukaa wapi
2026-08-27 15:06:20
0
Joseph Adson :
contenaa ya Wateja na simu zenu Take care
2026-08-27 19:36:41
0
Rola Bae 🌹 :
Alikiba alikuwa mbele ya mda kuimba hii nyimbo😳😩
2026-08-28 06:04:18
1
user18635142672816 :
alikiba alikuwa mbele ya mda sanaa
2026-08-28 07:48:59
1
Muhammad ndumba :
karibui tipiganie nchi ....
2026-08-27 20:04:56
2
widdy taita🎤🎸🎶 :
alikiba alikua mbele ya muda
2026-08-27 17:12:09
3
sos plus :
daa inauma sana masela wamepoteza ila never give up wanangu mbona hata hapa home fresh MUNGU atawajaalia rizki tu
2026-08-27 18:14:40
2
To see more videos from user @hbimala, please go to the Tikwm
homepage.