Huyu ndo alikuwa rais watu Hawa wengne ni marais wa familia zao
2026-08-27 10:02:14
45
Ukhty, Nasra💕 :
Haitowai tenah kupata rais kama huyu ,Allah ampunguzie azab ya qabr
2026-09-25 13:04:43
13
Yasin ikram :
jamani tutengen siku tulio kuwa tunampend Magufuli tumuombee dua majumbani kwetu inakuwa ni magufuli day
2026-09-08 05:02:16
12
f double six.tz :
Upumzike salama uko uliko😭😭😭
2026-08-27 14:51:32
8
fredy🙏🙏💥💥💥 :
Yan mpka nachoka. kila nikiona hivi naumia san🙏🙏🙏 sasaiv nchi sijui ipo wapi
2026-09-30 19:10:39
1
Debbie :
mbn km nimemuona polepole
2026-09-25 19:04:54
3
Abdallah Mtomela :
hayupo kimwili tunaishinae kinafsi
2026-09-03 14:56:23
9
Mrs money 💰Ever💎🥰 :
Nani mwinginee kamuona Hamphrey polepole
2026-09-11 10:29:08
4
Xmen_theDJTz :
kuna nguvu ilikuwa inatumika kuaminisha huyu jamaa ni dictator😳😳😳
2026-08-31 12:01:44
1
M@wida wakushesha 4👊 :
Daaaah wanangu eeenh kizur akidumu 👊👊
2026-08-27 14:48:15
4
🎀🎀nanai :
tutakupend sannnn baba yetuuuuu
2026-08-27 16:47:43
1
Namsifu@ :
Jembe letu tunamkumbuka sana kwa upendo wake tu
2026-08-27 18:17:39
2
MJUMBE WA KRISTO :
alikuwa anajiamin sana Kuna rais Gani mwengne wa kula hadhrani alikunywa kahawa kwenye uwazi geita na hapo tena na alikula mahindi hadhrani jamaa hili lilikuwa kusudi la Tanzania lakin tumeshindwa kulitunza tu
2026-09-25 09:05:32
1
pamela_27 :
Pole pole alikuwa na Aman kwenye Awamu ya Magufuli sahv wamempoteza maskin
2026-09-05 15:12:59
2
double B1234 :
Tunamkumbuka sanaa baba yetu
2026-09-07 19:54:59
1
hadija seif :
kizur hakidum dah
2026-08-27 14:58:12
2
kabulakipona :
jaman,,, huu msiba bado ni mzito😭😭
2026-09-25 07:59:11
1
john kasusa :
alikuwa social na mtu wakujali watu
2026-08-27 08:39:20
1
Mussa Ndomba :
mimi ameniflahisha sna jamaa inaonekana skuhyo.alifrahi sana
2026-09-21 22:27:21
1
Njowelo :
free polepole
2026-08-27 08:50:40
1
Roja Mgosi :
Daaaaah Yani Nacheka Huku Nalia hapa tuliondokewa na mtu bhn
2026-08-28 07:30:52
1
user8702608485141 :
Watanzania kama kuna kitu tulipoteza Mwamba
2026-10-01 06:48:47
0
vision 2036 :
aah tumempoteza jembee
2026-10-01 15:17:42
0
hayumina :
😭😭😭mungu akupumzishe kwa amani huko uliko bb
2026-10-01 07:30:22
0
tina :
alikuwa mtu wa watu
2026-08-27 08:23:13
0
To see more videos from user @magufuli.3, please go to the Tikwm
homepage.