@mahustech_: Hawa ndo watu tunaowaamini na kuwaachia majukumu ya nyumbani siku nzima๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ Matukio Kama haya utayagundua mapema sana Kama utakuwa na ulinzi wa kutosha Nyumbani kwako sana sana Ukiweka Camera utaweza kufatilia kwa ukaribu sana matukio yanayoendelea nyumbani kwako CCTV CAMERA || ELECTRIC FENCE || ALARM SYSTEM ||GATE MOTOR || VIDEO DOORBELL Tupigie simu 0793711661/ 0793711662 Tunapatikana Mwenge Mapambano Tunafanya kazi Mikoa Yote we are the best

CCTV Camera & Electric Fence
CCTV Camera & Electric Fence
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 08:29:43 GMT
20888
296
89
263

Music

Download

Comments

annazotto3
Pppappppโฐ00pp :
bei ya camera please
2026-08-28 09:03:45
0
witnessjoseph38
Angel :
hata ukiishi nao kwa wema kiasi gani hawana shukrani ๐Ÿ˜
2026-08-27 20:02:01
28
lulu432059
lulu๐Ÿ’ :
hawawez kumfanyia Ivo kama una ishi nae vizur never nakwambia
2026-08-27 15:03:05
14
naomijoel234
Naomi Joel :
ndo maana staki mtu kwangu
2026-08-28 11:57:27
1
doricape
doricape :
hawanaga wema hao
2026-08-27 12:11:11
4
uniet7801
@Nie....๐Ÿ’ž๐Ÿ˜Šโ™Ž :
Roho mbya tu ata kma mtu anakukosea Ndo ufanye hvy๐Ÿฅบ
2026-08-28 07:06:29
3
emmy.kaaya03
Emmy :
ata ukosew nn huu cy ubinadam jmn duh๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-08-27 19:02:29
5
user7857188800548
Marrymollen :
mi tunakula wote tunapakuwa pamoja na tunakula hapohapo
2026-08-27 11:41:40
3
catherinefrancis56
catherinefrancis56 :
Wadada wa kazi ni shida
2026-08-27 14:15:44
1
rahlatty2
Rahlatty :
yan hapo simshtui namuacha amalize kupika af akishamaliza namwambia ale ๐Ÿ˜‚
2026-08-28 10:01:34
1
tina858497
Tina :
jinsi unavyo ishinae
2026-08-27 18:56:16
0
grace.maumbuka
grace maumbuka :
Mpaka viatu jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ณ
2026-08-27 18:05:54
0
ray..komu
Raya๐Ÿฆ‹๐Ÿน :
Mungu amlinde sana wa huku kwetu Maan amekuwa mtu mwema kuliko ata ndugu jamnโค๏ธโค๏ธ
2026-08-28 08:36:08
1
uwimanafezaarnaud
christianafeza :
Mimi wangu na mupenda sana ili asifanyiye watoto wangu vibaya
2026-08-28 12:36:03
0
tinabemerwa
Tina Bemerwa :
kwani atakama umemkosea siaondoke tu mpaka utende zambi kwani umefungiwa apo
2026-08-28 09:40:57
0
joyce.james76
Joyce James :
Kwan Ile video tofaut na hii hakufukuzw kazi au ni content
2026-08-28 10:17:50
0
veesrk13
veesrk โค๏ธ ๐ŸŽ€ :
mkome๐Ÿ˜…
2026-08-28 03:57:47
0
officialnipher27
Nipher :
Jamniii
2026-08-27 20:55:15
0
zahra.s227
๐Ÿ’–zahra๐Ÿ’–๐Ÿ’– :
ila me siko ivo ety
2026-08-28 06:08:16
0
helyephnedson
helyephnedson :
wewe tafathali taja majina siyo wote sawaeee
2026-08-28 08:43:25
0
hk.tire.betry.shop
HK TIRE & BETRY SHOP :
Inategemea Uhuru
2026-08-27 22:19:48
0
najma.fedeliko
Najma Fedeliko :
nabado ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-28 07:29:48
0
jameela..ashraf
Jameela Ashraf :
hasbiaLLAH waneemal wakeel ๐Ÿ˜ก
2026-08-27 18:19:28
0
To see more videos from user @mahustech_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About