@fycargotanzania: Kwenye video hii tumekuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kujaza anwani ya warehouse ya FYCARGO kwenye app ya Pinduoduo. Kabla ya kuanza, hakikisha: ✅ Umefungua akaunti kupitia www.fycargo.com ✅ Umepakua app ya Pinduoduo kupitia App Store au Play Store ✅ Umechukua anwani yako sahihi ya warehouse kutoka kwenye akaunti yako ya FYCARGO Baada ya hapo, unaweza kuagiza bidhaa zako na kuzituma moja kwa moja kwenye warehouse yetu China kwa ajili ya kusafirishwa hadi Tanzania. ✈️🚢🇹🇿 Kwa msaada zaidi, piga simu au WhatsApp: 📞 +255 740 190 937

Fycargo Tanzania
Fycargo Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 08:39:06 GMT
1941
58
12
15

Music

Download

Comments

thuraiyacollection0
Thuraiya collection :
Mnaonganisha mzigo kama mteja anavipercel tofaut tofaut dear?
2026-08-27 09:02:19
1
desi00696
Desi❤️ :
nikipurchase ni lazima nije kuwasiliana na nyie au kwasababu tyr nimeeka adress yenu mtaona
2026-08-28 11:19:13
1
neybeautyaccessories
Ney Empire👑 :
Shein je?
2026-08-28 14:17:58
0
To see more videos from user @fycargotanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About