@motvonline:

MO TV ONLINE
MO TV ONLINE
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 08:50:03 GMT
12295
474
33
22

Music

Download

Comments

iemngng
🫰🌪# :
TUMEISHAAAAASSS☹️☹️☹️☹️
2026-08-28 05:01:58
0
godfreynatai2
MR NATAI :
2026-08-28 04:16:32
1
kasongo470
kasongosaid :
Mbona Huwa mnatuelimisha kwamba tusitumie cmu tukiwa tunaendesha
2026-08-27 19:04:50
4
babaamayra512
NightKiller🔥 :
Sasa na wew kamanda hlo gari nilifate nyuma nyuma likirudi nyuma jee
2026-08-28 04:40:04
2
chuse.gang.star
Hussein Gangster 47 :
arusha waligungiwa leseni ni AI
2026-08-28 04:44:34
1
husseinsaid913
mkali wa izi kazi :
hatari sana
2026-08-28 04:22:49
1
akbarbachir
Bashir257 :
Nimekwisha mm nnavyozipit zile 113 😂😂😂
2026-08-28 04:28:13
1
rashidmtati1982
mzee mbuzi :
umbea hatujafunzwa mzee
2026-08-28 04:30:52
1
daudijafeti
D dazzo Tz :
kwaiyo tuwasaidie kazi
2026-08-28 03:00:02
1
ranadhanirajabu
R50 :
na hiyo inayotembea polepole barabarani sheria inasemaje
2026-08-27 19:03:01
2
servant650
SERVANT TANZANIA 👑 :
Ongeeni na madereva wa Serikali yenu kwanza
2026-08-28 02:27:37
1
t405dgb2
J4 :
Naomba unaze nakuzionya kwanza gari zote za uma maana izo gari mdizo zakwanza kuvunja sheria na hakuna hatua mnayo ichukuwa tena wakati mwingine ni mbele yenu ni kwann wavunje sheria nakama wanaharaka kwann kikosi chausalama barabarani kwann msiwaongoze
2026-08-27 20:30:40
2
filbert.clement
Filbert :
Magari yenu ya Serikali yanaongoza kwa uvunjifu wa sheria ,je tuyarekodi pia?
2026-08-28 02:23:38
1
mwasu_boy
Mwasu_Boy :
polis yupo sahihi sana, kuna madereva hatujielewi kabisa
2026-08-28 01:20:56
1
omarygama
omary gama :
kwaiyo mmeturuhusu tutumie simu wakati wa kuendesha au me sijaelewa🥱
2026-08-28 03:22:59
1
user1877751721246
user1877751721246 :
wwe unaweza kumrekod mwenzio akikosea utume kwa IGP
2026-08-27 20:47:45
1
mtravell..11
Mtravel 11 :
mimi bn umbea siwez
2026-08-27 12:17:37
1
benbryson11
benbryson :
itakuaje pale ambapo afisa usalama barabarani anakuandikia faini bila kukusimamisha au kukagua gari??
2026-08-27 18:51:56
0
totobaddy135
TOTO..BADDY🚛🇿🇦🇹🇿 :
xaxa afande 😳au bas
2026-08-28 07:17:42
0
jerome554433541
Eliud Assenga :
mwalimu wangu veta njiro
2026-08-28 06:24:56
0
miraji.juma33
Miraji Juma :
kutumia sm wakat unaendesha nikosa Sasa nitamlikodi vip
2026-08-28 05:43:46
0
mr.anwari
MR.ANWARI📸🛣🚛🚌 :
nipe Namba Yako
2026-08-28 06:26:58
0
user4694971199906
user4694971199906 :
sasa driver hurusiwi kutumia simu kwann arekodi huyo ndyo mstakiwa wa kwanza ! ushauriwa wangu kulingana na muongezeko wa mgari Tz zitanuliwe bara2 kutoka Dar; tunduma na Dar, Rusumo hasa sehemu zenye milima
2026-08-28 04:53:33
0
selesiansimba284g
[email protected] sim :
tutatembea usiku
2026-08-28 04:50:55
0
maiko_362
mika :
baaas mmekwisha
2026-08-28 04:37:33
0
To see more videos from user @motvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About