awajui ata kucheza ukweli kusemwa mtu unafungwa goli sita apo tunaonekana nchi nzima atujui kitu ni kutiana aibu
2026-08-27 10:15:07
25
BRYAN JOHN :
Tanzania 2 vs Morocco 0
2026-08-27 14:53:26
4
LISSU FASION SHOES 👞 👟 :
mashujaa wetu hao proud of you brothers
2026-08-27 11:04:50
2
DeE Pablo :
God help us
2026-08-27 11:32:36
3
Gara Look :
YAN UKISOMA COMMENT. ASILIMIA KUBWA SANA WASHKAJI. WANACHUKI SANA NA NICK MBN NICK. NI MTU POWA TU GAME ANAJUA. FRESH KABSA. SEMA WENYE CHUKI WANAONA KAMA MSHKAJI HASAHILI. TUJIFUNZE KUSAPOTI. VYA KWETU.
2026-08-27 11:40:48
16
Rey_G kiddy :
Kashatolewa 😢😢
2026-08-27 09:56:06
5
Gboy Msafitz :
ila nick 😂😂😂😂nivile tu MUNGU kaamua kumfungulia milango game ajui
2026-08-27 14:23:17
2
Rabbee :
mungu awasimame na awaongoze
2026-08-27 09:16:07
4
🇹🇿🚨🕌 :
Tumesha fungwa
2026-08-27 13:45:49
1
uncleJJ2 :
game Yao saa ngap wadau
2026-08-27 12:22:15
0
cornex@montana :
kwa heshima sana kaka kila la kher
2026-08-27 12:11:03
1
ZFDC TV :
huu ni mchezo gani
2026-08-27 14:39:28
0
Fahad 66jr :
kil lahel
2026-08-27 10:04:43
1
🍁 :
oyaaa hiv izo mechi zinarushwa live kwenye account ipi ila mechi za nick
2026-08-27 13:55:16
0
🎙️ MG Real Talk ⚡ :
alaf Kuna watu wanasema e football ni ujinga 😂😂
2026-08-27 16:05:03
0
~hugo :
hacipokuwepo tu embixx ...nick mshindi
2026-08-27 14:37:32
0
Kinsenda Unyama :
inch ipo mikona salam
2026-08-27 15:37:32
0
Amiy Boy :
nakubali
2026-08-27 12:19:18
1
GБКЇѪ$TЗ :
Egypt hawana kiwang huwa nakutana nao nawachapa sanaaaaa
2026-08-27 17:31:36
0
Kenny0$1X✔️ :
one love kaka
2026-08-27 16:10:55
0
xonie🦊 :
🔥🔥mmepoa wakubwa wa mji
2026-08-27 16:08:44
0
@kindschalin685 :
mnavyoponda man kazen vdole na nyie muende kam n easy mbn game znaend pw 2
2026-08-27 15:08:08
0
To see more videos from user @7teen.tz, please go to the Tikwm
homepage.