@abisainzali: SEMINA YA BIASHARA NA VIONGOZI WA TAASISI ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA ETERNAL BANANA TAREHE 26-08-2026. TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KUPITIA UJERUMANI MWAKA 1914 - 1918 .

Abisai Nzali
Abisai Nzali
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 09:22:28 GMT
47156
3836
66
127

Music

Download

Comments

junior_mkemia
JUNIOR MKEMIA :
Serikali imtizame uyu jamaa ktk nyanja nzima ya kuwaelimisha wananchi ktk mambo ya kiuchumi na kujitambua
2026-08-27 10:58:55
27
victorlyimo25
mr :
sikweli
2026-08-27 14:50:20
4
josephbwanarusabo
josephbwanarusabo :
your my real model of my life
2026-09-03 20:22:02
2
mosesdm3
Engineer by Nature :
Mungu aendelee kukuinua, una kitu
2026-08-27 10:26:06
13
mwenga64
sammymwenga75 :
Kwa kweli mimi ni mchungqni lakin unanifunua akili
2026-09-01 12:58:03
2
laulentpaul743
Laulent P.m seka :
brother umri si namba endelea kuchapa vitu usichoke
2026-09-02 12:46:50
7
mkuu_wenu
Alon David :
Huyu kaka amenifanya naelewa mambo meng kwa upana zaidi, nimekuwa najifunza mambo meng kwa wakati mfupi kuliko hata wakati niliokaa darasani, Mungu akutunze sana kaka.
2026-09-02 07:40:52
5
njangwano4
Africa Girl ♎ :
Kuna siku nami nitashiriki live semina yako mtumishi 🙏
2026-09-01 06:46:32
5
datiuskatabaro0
katabalo d :
mh umenifungua kimtazamo barikiwa sana
2026-09-01 10:58:04
2
abdallahmasumbuko8
[email protected] :
huyu jamaa ni noma sana
2026-08-30 13:35:22
1
msigwa10
msigwa njombe :
nimekusikiliza mpaka mwisho sijachoka
2026-08-28 04:52:18
2
mwanzolam2003
Lam starwize :
my mentor,role model and genius of 21 century, kupitia neno lako ipo siku Afrika itapata ukombozi
2026-09-03 10:37:36
3
user4117856879383
shabani enock pro💪 :
courage
2026-09-03 18:51:21
1
damianandrew71
Damian :
mchungaji ninakushahuli kitu kiongozi naitaji utengeneze vitabu uvitoe uko na nolegi kubwa sana.
2026-08-31 03:50:33
1
ibrahimu_mashallah
ibrahimu Mashallah :
safi kabisa mtumishi
2026-08-27 22:10:01
3
uhurumpyaa1
uhurumpyaa :
sahihi
2026-08-27 10:54:19
1
asia.mustafa.athu
Asia mustafa Athumani :
MUNGU akubariki.
2026-08-27 10:08:33
2
user4550988784614
BEN :
amen
2026-08-27 12:36:37
1
simoncarol3
simoncarol819 :
wewe ni mwalimu wa walimu
2026-08-29 13:00:31
4
lilfan4860
lilfan✌️ :
Mwalim
2026-08-27 12:20:29
1
mbashiruyahya
2026-08-27 18:19:25
1
ambelemwakarobo
Ambele Samson mwakalobo :
kama October 29
2026-08-27 20:07:13
1
boscomushi312
Bosco Mushi :
🤣🤣🤣 ilikuw hatariii
2026-08-28 03:56:01
1
joshcreationgrp
josh creation :
sichokake kukufata depuis Butembo nord-kivu RDC uku ebola na mauwaji mama yangu Amani iko wapi asante pasteur kutu fundisha vitu vya bien sana vadiee
2026-09-01 04:32:25
2
ba2mdogo.com
Ba² mdogo :
point safi kabisa👍👍
2026-08-27 11:51:09
1
To see more videos from user @abisainzali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About