@balamatz: Huyu hapa mrembo wa tiktok #aiemlucita anafunguka na kusema kuwa yeye hakupendezwa sana na matusi mengi aliyokuwa anatukana Somadia kabla ya kupewa onyo na waziri gwajima, na baada ya kuuluizwa vipi kuhusu yeye akipewa onyo na waziri au mamlaka je atajisikiaje, amejibu na kusema atafuata kila kinachosemwa na mamlaka kuu kwa namna yoyote ile, na kuongeza kusema kuwa maudhui yake sio rahisi kuharibu watoto kwa sababu ni ngumu mtoto kushika simu kwani simu sio kwa ajili ya watoto.. je maudhui ya #lucita yana madhara yoyote kwa watoto??

MEGA MEDIATZ🇹🇿
MEGA MEDIATZ🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 09:37:03 GMT
38464
2534
15
9

Music

Download

Comments

ladislauskisaka
lautha kizzy :
Kwan pastor Jacob anasemaje 😅
2026-08-28 10:03:12
8
mustwafa.tz2
mustwafa@b!n mjeje :
2026-08-28 07:04:29
1
robiusseverian515
Robius Severian :
lucita amevurugwaa 🤗🤗🤗🤗
2026-08-27 18:24:37
5
goldenxon
It's Golden :
iyooooooooo leoooooooooo iyoooooooooo
2026-09-02 11:56:33
2
fahmi955339461985
fahmi :
somadian Nunez number one
2026-08-30 19:21:10
2
mr_logistics
Mr logistics ✅ :
@SOMADIAN-NUNEZ 🇹🇿 -ONE
2026-08-27 20:33:53
1
naa.cute683
🧸🎀Aiem naaah🎀🧸 :
🥰🥰🥰
2026-08-27 12:54:27
1
mwanajuma688
Mwana Juma :
😂😂😂😂
2026-08-27 11:28:36
1
xhega_boy99
xhega_boy99 :
😁😁😁😁😁
2026-08-27 19:37:52
0
kingole070
prosecutor mudy :
🥰🥰🥰
2026-08-28 07:03:22
0
mwajabu.nasoro
Mwajabu Nasoro :
🥰🥰🥰
2026-09-01 15:01:15
0
To see more videos from user @balamatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About