@matukioonline_tv: Rashid Ramadhan (53) ambaye ni Mkazi wa Tandale, Dar es salaam amerejea Nchini Tanzania leo Agosti 26, 2026 kutokea Afrika Kusini alipoishi kwa miaka 30. Akizungumza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Ramadhan anasema maisha ya Afrika Kusini ni magumu na hakuna aliyochoambulia zaidi ya kuacha Mtoto na mali ambazo hawezi kuzijutia. “Tunamshukuru Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuja kutuchukua Ndugu zake, hakuna maisha kule,”. #UPDATES
Matukionline Tv
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 09:37:34 GMT
Music
Download
Comments
Reymely :
Sio kila mtu Ataeenda nje lazima afanikiwe jmn mtoaji ni MUNGU jmn sio kila aliefeli kapenda ni utafutaji ni hatima iliofichwa
2026-08-27 11:50:35
103
Elifred :
tumekwisha watu dar hiz namba zitatuibia sana
2026-08-27 15:02:03
12
petergodfrey6397 :
mfike tz Tena mseme Samia m baya mana shkrani ndo tunazikosa
2026-08-27 12:32:17
13
Kakatu JR :
Tujiandae na Mali zetu sasa!!kazi tunayo mtaani
2026-08-27 14:33:44
16
gabimaghitz :
Aya tafteni NIDA
2026-08-27 14:29:52
2
DalaliMpemba_Tz :
Namba 45 ndio Huyo sasa
2026-08-27 12:44:45
7
noely noely :
kufeli south Africa sio kufeli maisha pengine hatima yako IPO dar so never give up
2026-08-27 18:23:52
3
the@sun :
ulikua unafanya kaz Gan?
2026-08-27 13:55:17
2
bulletproof🤫 :
so sorry to you
2026-08-27 09:53:41
0
mika juma :
mtoto siyo mali huo ni uzao tu
2026-08-27 10:59:48
4
si mnasema tz ni inchi Haina amani imekuwaje
2026-08-27 15:11:02
2
baba anna :
😅😅😅 Bora hat sisi tuliobaki nchin mbn wamechoka san
2026-08-27 10:27:40
7
Kassim Jakaya :
miaka 30?
2026-08-27 16:17:01
0
45 :
mjomba umekuja na mke wako shangazi mmeludi wote
2026-08-27 15:09:13
1
user846710513774 :
hapa ni kuchunga Mali zetu jaman
2026-08-27 16:31:19
0
makubh 26 4𝐋🇹🇿 +🇿🇦🦅 :
26 inasebenza
2026-08-27 16:13:25
1
lady fina :
bora ungebakia nyumbani ungekuwa mbali sana kimaisha ila Pole yako kaka
2026-08-27 14:19:29
1
Ismaili jafar makaveli :
mnatuletea watu ambao wamesha choka
nguvu kazi. wamezimalizia huko
2026-08-27 10:41:50
0
LeithSerenge :
wamechoka kweli
2026-08-27 10:25:17
1
master h :
dah jamani mweshimiwa rais, tumekwisha sasa dar vibakq wanatud mtaani sasa tuwe chonjo,😭😭😭😭
2026-08-27 15:15:49
0
TengexaKibs :
tandale kwa kina msanii gani vile...
2026-08-27 20:55:41
0
mrs h :
kupumzika au kuteseka
2026-08-27 20:06:02
0
Salma Said :
Hassan mtambo sijamuona
2026-08-27 20:25:09
0
Sharifu Ramadhani :
Lazima ulipe Deni la Taifa hatuwezi kulipa peke yetu
2026-08-27 19:44:21
0
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.