@hamzafajii: #ያሙሀመዳ#neshida #manzuma #ethiomuslim #ethiopian_tik_tok🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹 @MUAZ حبيب Abu Fatih🌍 @ሀፊዝ ኻሊድ @abdusomed💕✌️ @AMIR LYRICS @Esko_tg @Medul_Geram(መዱል_ገራም) @Toyba yusuf🔥ጎጃሜዋ💘የነቢ ወዳጅ✔️✔️ @Wolid Hussen official✔️ @ALHIDAYAH ISLAMIC MEDIA አልሕዳያ @Abuki❤️‍🩹 @iNaya Records @𝗔𝘆𝗺𝗲𝗻 𝗥𝗲𝗰𝗼𝗿𝗱𝘀 @@Harun.Manzuma✔️

hamza faji
hamza faji
Open In TikTok:
Region: ET
Thursday 27 August 2026 09:46:06 GMT
4331
1186
60
67

Music

Download

Comments

hanihonii2
hanihonii2 :
Mashalla zake 🥰🥰🥰🥰
2026-08-27 21:28:27
0
naahir56
Naahir :
maasha allah maasha allah yene widde🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-28 01:55:12
0
amiyeabatuwa
አሚ :
saw saw saw saw
2026-08-28 17:58:07
0
user2460947549226
የወሎቆጆ 🥰🥰🥰 የነቢወዳጅ 💚💚💚 :
🥰🥰🥰
2026-10-01 05:36:34
0
imran69565
imran :
🥰🥰🥰
2026-09-23 15:08:54
0
fatiyaa.walaggaa
Fatii 🦋🧕 :
🥰🥰🥰
2026-09-17 19:55:42
0
umarseyfuddin
عمر سيف الدين الجمي الحبشي :
🥰🥰🥰
2026-09-15 12:20:31
0
johnii_1
jonas 5G :
❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-10 10:04:16
0
abrahimmohammed84
abrahimmohammed723 :
🥰🥰🥰
2026-09-03 21:16:33
0
reiskelifaa
Reis kelifa44 :
🥰🥰🥰
2026-09-01 08:43:44
0
jalatasufiyya0
Jalataa💖Suffiyyaa official :
🥰🥰🥰
2026-08-29 08:46:13
0
rais.hassen
🖤Rais🌴Hasan🤎 :
🥰🥰🥰
2026-08-29 08:44:42
0
jaabo53
6aabir🏍💚 ወንድ ልጅ አይጣ :
💓💓💓
2026-08-29 06:53:33
0
abdallahi.abdurah
seyfuu Awwal :
🥰🥰🥰
2026-08-29 05:43:42
0
tofee.jimma4
Jaalatani Jaalitaamu :
❤️❤️❤️
2026-08-29 04:56:35
0
abedifata3
abedifata :
❤️❤️❤️
2026-08-29 04:31:44
0
nurex369009
NuraDambi🌅 :
🥰🥰🥰
2026-08-28 22:19:37
0
oliyadmohammedhusen
oliyad :
🥰🥰🥰
2026-08-28 21:53:22
0
qaamusahaamaddin
🥀Qaamus 💯K Ahmaddiin :
💚💚💚
2026-08-28 19:05:56
0
ahmadj095
🎧Ãhmišhăä 🌀🔻 :
🥰🥰🥰
2026-08-28 18:23:22
0
najjashisheka
NAJJAASHI 🇪🇹نجاشي :
🥰🥰🥰
2026-08-28 17:01:54
0
user197880212585
Nebo ya abuya :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-28 16:32:43
0
riyaadhafaarsinu
Riyaad Hafaarsinu :
🥰🥰🥰
2026-08-28 15:03:00
0
my.dad.is.my.first
my dad is my first love :
👌👌👌
2026-08-28 14:18:12
0
badhooahmad2
🇨🇦T,e⚡️Billcho🎧 :
🥰🥰🥰
2026-08-27 09:48:08
0
To see more videos from user @hamzafajii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linashikilia watuhumiwa 15 wa jamii ya wafugaji (Wamang'ati) kufuatia mauaji ya watu wawili, akiwemo Diwani wa Kata ya Misechela, Zuberi Abasi Binamu (51), na mfanyabiashara Omari Zuberi Yassini (45), huku watu wengine watatu wakijeruhiwa vibaya katika Kitongoji cha Mkambala, Kijiji cha Chiungo, Tarafa ya Namasakata, Wilaya ya Tunduru. Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Jeshi la Polisi iliyotolewa leo Jumamosi Oktoba 17, 2026, tukio hilo lilitokea mnamo tarehe 16 Oktoba 2026, majira ya saa tatu usiku, pale kundi la wafugaji lilipovamia eneo ambalo wanakijiji walikuwa kwenye msiba na kuwashambulia kwa fimbo na vitu vyenye ncha kali. Washiriki wengine watatu katika tukio hilo, ambao ni wakulima wakazi wa kijiji hicho, Abasi Makina (35), Daudi Ally Seleman (34), na Bakari Hamadi Mtamila (52), walijeruhiwa vibaya na sasa wanaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Tunduru. Chanzo cha vurugu hizo kinatajwa kuwa ni mfululizo wa migogoro kati ya wakulima na wafugaji, ambapo awali mkulima Jafari Hamad Hemed (56) alidaiwa kujeruhiwa kwa kuchomwa mkuki kwenye paja wakati wa mzozo. Hali hiyo iliwafanya wanakijiji kuungana na kuvamia makambi ya wafugaji katika Kijiji cha Mkotamo kulipiza kisasi, ambapo mtoto mwenye umri wa miaka 12 alijeruhiwa, jambo lililochochea shambulio la kulipiza kisasi lililofanywa na wafugaji usiku uliofuata na kugharimu maisha ya diwani huyo na mfanyabiashara huyo. Miili ya marehemu imefanyiwa uchunguzi wa kitabibu na kukabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi. Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi limeendesha operesheni kali iliyofanikiwa kuwanasa watuhumiwa 15, huku likitoa wito mkubwa kwa wananchi wa Wilaya ya Tunduru kuendelea kuwa watulivu, kuacha kujichukulia sheria mkononi, na kushirikiana na vyombo vya ulinzi kutoa taarifa wakati msako mkuki wa kuwasaka watuhumiwa wengine ukiendelea.

About