@jvckieseven: Huu ulikua ni mwaka mzuri zaidi kwa producer P funk majani a.k.a baba paula kwa kutoa hit songs nyingi zaidi. Lakini pia kwa upande mwingine wa director Adam Juma huu mwaka ndo alitambulika vizuri kwenye industry ya muziki kwa production ya video maana huo mwaka alitoa video nyingi za ngoma ambazo zilikua hit songs kwa mwaka 2005 akiwa na kampuni yake ya visual lab ambaye baadaye aliita next level.
this year made me love Tanzania as a country coz all the hits were fire this time
2026-08-28 15:54:32
1
Mlelwa Thadey :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰t n g SQUAD good music
2026-08-28 17:17:19
0
saadamosh :
dah kuna haja ya kuzunguka nchi nzima miaka 30 ya bongo flava maana sio poa , noma sana🥰🥰🥰
2026-08-27 18:56:43
19
J-5 :
Kwa kumbukumbu zangu hii ngoma ilitoka mwaka 2006 mwanzoni kabisa
2026-08-27 20:14:58
5
Ba lugano :
nakumbuka 2003 namaliza lasaba Ubungo NHC primary tuli icheza hii nyimbo
2026-08-28 08:48:13
5
Mr Washington :
TNG noma sana.. wana goma lingine linaitwa ring on it
2026-08-28 00:58:45
7
Mrs 🫶gasto🫶👩❤️💋👩 :
utachezewa hata kama umeolewa hahaaa😅😅😅
2026-08-28 19:07:34
2
shiru🏴☠️ :
tmk majta
2026-08-27 20:22:13
1
Trust no one :
Wanyamwezi wa kitambo 🥰
2026-08-28 12:11:44
1
Pablo Escobar :
hii ngoma ad kesho likipgwa wat tunamasha nalo
2026-08-28 14:04:35
1
zawad ahmad :
Nakumbuka tulicheza Sana kwenye graduu ya dadaangu seck 2007
2026-08-28 16:36:22
1
194_cactus :
Ni kweli 05 mpk 07 baad ya apo ikfata mj rec chini ya maco chali
2026-08-28 19:59:01
2
user6744141769790 :
Ngoma noma
2026-08-29 13:44:02
0
BU :
Walitoka tanga na raha Leo hao kuja ku record hii TNG squad
2026-08-28 21:54:23
1
B7sKings (Army💜) :
hii ndo ilikua bongo flava😊😊
2026-08-29 12:33:29
0
Nevergiveup :
Hii ilkua 2006
2026-08-27 19:17:24
0
prettychichi :
hii ngoma ni faya bhna🔥 ila beat za P fuck🙌
2026-08-28 10:33:15
1
Jackson Charles Shao Shao :
noma sana
2026-08-27 20:11:16
0
AK47 🇹🇿 :
Hawa ndo ma lejend tunawahitaji kwenye miaka 30 ya bongo flavor sio hao watoto kina dogo janja
2026-08-28 04:47:26
2
🦋Ashirina Capricorn ♑️ :
Hawa jamaa sijui wako wap
2026-08-28 15:49:00
0
mussa Kibwetele :
nyimbo yangu bora muda wote nakumbuka tulishinda kwetu baa kwenye kusheki kundil letu lisboni tulipata ellfu50 mwaka uwo kama milioni vile daaa kitambo kidogo😂😂😂😂😂😂 atari iyo mpka leo stairi zake nazikumbuka sija zisahaau 😂😂😂 uku namwanangu gubikira pembeni kishombo na kk mkuu chui mnyama ahahah atari kk kama watu tulijua kuicheza iyo nyimbo nisisi tulishinda elfu 50 daaa😂😂😂 lieso kwetu baa mbagala iyo😂😂😂😂
2026-08-29 08:59:55
0
@255_SHADES🤓😎 :
Haoo jamaa walokuwa wanacheza hapo mwishoni🙌🏽
2026-08-29 14:16:17
0
Dorice Harold Sr :
hii hit inaitwaje?
2026-08-29 20:11:42
0
Thabit :
Old is Gold
2026-08-28 20:15:05
1
Rukiya ahmed :
kabisa majani
2026-08-29 19:16:36
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm
homepage.