mamako amewai pika chapo akabakisha akasema niza kesho ww useme ujashiba ukaekwa hapo chini umalize chapo zimebaki 18😩😂😂karibu niende sayuni juu kiboko ilikuwa ready
2026-08-27 12:50:06
372
Thee clerk🫦🩵🩶 :
hata usijaribu kumsongea😂😂😂😂
2026-08-27 13:15:53
238
Mwendwa_ek :
Mbona walikuwa wanabehave hivi wote???😂 Alafu ujaribu uamke 11am🤣 Hata kujiserve chai ilikuwa ngumu😂
2026-08-28 08:25:06
89
JADE :
nilikua naanza zile za " mum mama nani amekusalimia"🤣🤣
2026-08-27 23:11:48
86
Vyolah ♥️♥️♥️ Pauline :
Am i the only one mwenye nimelelewa na African parents but sijai ona hizi story watu husema,ama ju mimi ni last born
na adi hakuna eye contact😂😂You know it's about to go down
2026-08-27 21:34:04
38
MBUNGA :
Nimepatana na mtu akanipea mia nikuletee na imepotea lakini amekusalimia
2026-08-28 20:38:38
12
Ceccie💗 :
@Ceccie💗:Mzazi kutoka nawewe unatoka then you get back unapata bado hayuko kumbe alikuja na akaenda ..anakwangalia tu ukimdanganya😂
2026-08-27 16:19:50
47
Kenaa🦋 :
Then unaanza kumwongelesha kuskia kma amejam😅😅
2026-08-27 16:31:29
61
Jessica Mueni :
Then there is Gen Alpha..they don't care, you will talk to them later. unakuwaga tu unreasonable hivo its no big deal. you learned your lesson, now you are washing your own utensils 😁
2026-08-28 23:30:41
7
Sirshy🥰🥰 :
mm wanguu ulkuwa uki muongelesha ana Anza kuimba nyimbo zakee na hadii hiyoo siku hakutumi hadii chumvii 😂😂😂
2026-08-28 15:08:47
11
Happiee ♥️ :
apo direct najua ni kuchapwa 😂😂😅💔
2026-08-27 10:40:11
19
TONY MWIRIGI :
😂😂😂😂😂Heart Attack!!
2026-08-28 16:18:50
31
shazlyn78 :
Na hivyo ndo nilikufa 🤣🤣
2026-08-27 11:38:34
24
mazzy🦋🦋 :
Ushailala nje alfu unarudi asubuhi unapata ndo wanakunywa chai🥹💔 wako hapo wote
2026-08-28 17:58:32
5
Johnjey🇰🇪 :
mum umesalimiwa
2026-08-28 13:52:48
7
TONY_EAST_FARMS :
"Mum nmekutana na Mama nanii akiwa anapelekwa hosi. Utaenda kumuona?🥹"
2026-08-28 17:25:01
12
T@31.🫦🫦 :
nishai ambiwa Rudi penye ume toka ... na Mimi SI mama yako
2026-08-27 14:33:33
17
It’s Peshy. :
Mimi nishaipatwa nikikula sukari, nilikalishwa chini nikule yote nimalize na ilikuwa kama 1kg😂weh karibu niende sayuni😂😂🤭
2026-08-28 15:58:24
5
Freedah Faridah👑 :
Nilifika home nikapata Mzae yeye dio ako na the original results and fee details zangu ni edited😭😭😭 hapo dio nilitoa shida ya magoti!!
2026-08-28 18:57:58
6
Īťṣ̌ Ɓřãŷŏ🇰🇪🤴 :
Third world war ilikua inaanza hapo
2026-08-29 08:09:05
4
To see more videos from user @saam_254, please go to the Tikwm
homepage.