kama uliwahi kutumia headphones za kawaida kuna mziki huwa spika zinapokezana left and right na muda mwingine unapata hadi sauti kama za kwenye hometheater(dolb atmos) je mziki mkubwa unaweza kupata setting kama hiyo?
2026-09-03 07:33:42
1
zackpraise and the band🎤🎤 :
and naeza toa ajeh sound from my max 16 channels mixer to my Android phone ndoo Nitecord clear sounds
2026-08-28 09:57:20
1
Patrick :
sasa nikiwa natumia cross over ya Digital nikawadha kutumia equaliser?
nipe jibu
2026-08-27 20:20:46
1
Zephania Julius :
Siku zote nataka usahihi na ubora. Nafuatilia nini kinajiri.
2026-08-27 18:33:02
1
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
tupe madini baba
2026-08-27 23:42:27
1
Utukufu Choir-TAG Mlowo Stand :
sasa mixer inapeleka kwa Eq au inapeleka kwa Crossover?😂