wasichana wa kazi mkizoeana utalia mwenyewe,mimi utachagua kazi ama hio simu,some people have negative energy they will drain you,i cant!
2026-08-27 13:56:56
1
Annita✈️ 🇰🇪🇴🇲 :
Nipee hiyo kazi sweety tuna fanana pia sipendi kelele am a introvert
2026-08-27 11:26:41
2
️ :
Lights na kelele ….just a no from me
2026-08-27 10:50:09
7
🤍Nia💙 :
inaudhi btw..I don't like people talking for long long on phones.
2026-08-27 13:55:48
2
The Goddess 🦋💖 :
my house iko na kila kitu fully but i dont even turn on my radio 😂😂
2026-08-27 22:34:13
0
Sally 🇰🇪 :
Nipee hiyo kazi,,you won't notice i am in the house
2026-08-27 12:44:50
3
essybossy0 :
Kwanza Wangu ako Na katululu,that kasound ka kufinya finya simu akitext irritates me
2026-08-27 11:23:08
8
Anne Achuka :
What if ako kwa simu juuu amemaliza kazi but no noise kabisaaaaaa
2026-08-27 11:22:16
7
NYAWIRA ❣️ :
aiii siunamwambia akimaliza kazi unampee time atoke nauko inje aiii
2026-08-27 20:14:14
3
Lady B 🦋 🦋🇰🇪🇶🇦 :
exactly hupendi kele but people are different gal kuna watu wakikaa mahali kumenyamza akili inaeza luka , another thing can get her is overthinking, trauma kama sio hivyo mshw anunue earphones akiongea na simu anazitumia zitamsaidia ama umnunulie sio kwa ubaya try to solve mwambie if she need to make a call aende kwa room yake even wenye wako uarabuni hufanya hivyo
2026-08-27 10:52:22
6
fearless Honey badger :
Sometimes I regret being an introvert
No party
No entertainment
Kiburi na kila mtu
2026-08-27 11:03:53
2
kendi❤ :
your such a nce boss
2026-08-27 10:47:19
1
Koko😍 :
Kwanza kuna wale they watch clips on their phones with full volume around people😳
2026-08-27 13:31:07
1
kaptain :
too much freedom brings familiarity just balance interaction
2026-08-27 21:33:36
0
khadzijah :
nilifuta wangu na huo ujinga,mtoto wangi ni mdogo anahitaji attention ata ukawa unafanya kazi zengine vizuri but huna time ya mtoto,out.
mtoto habadilishwi diaper,hampei food,Mimi nafika natoa food ivi mtoto analilia,yeye ako kwa simu tu.
that help traumatized me na hizo simu zak3 za upuzi,nikikukbuka nalia tu for my kid
2026-08-27 14:02:42
1
Wamaitha♌️⚘️ :
Sina househelp but sipendi kelele pia..but unaeza mwambia akuwe anaongelelea nje ama bedroom if it's too much...I have a son and nikiskia kuna vile the noise imekuwa mingi I either go kwa bedroom ama yeye abebe laptop aende bedroom akachekee uko...I think mnafaa tu muagree kwenye atakuwa anaongelelea na simu bila kukupigia makelele
2026-08-27 12:32:22
1
kisii babes🥰🥰 :
yeah its bad tumefanya na htuongei na simu ovyo
2026-08-27 11:02:51
0
Sly❤️ :
My sister has a house manager ,,,she's a very good lady so sometimes you find ashamaliza kazi yake anaenda kwa room yake kukaa na simu yake but my sister pretends aty sasa anajifanya anaenda kutafuta kitu kwa Iyo room na hata haiko😂😂kumbe she wants to confirm what she's doing ,,,,same to me my sister akinipata Niko kwa simu gosh ni kama anaudhika Sana kwanza anataka ajue unaongea na Nani 🤣🤣uende rooftop ndio uyo amekuja anajifanya anaanua nguo eeeeyy mtu hata unachoka !!
2026-08-27 20:41:35
0
akimbo jaber :
Madam you are right let her come in gulf county
2026-08-27 22:49:25
0
FRIMUSH BEAUTY PARLOUR :
Wangu anapikanga food zimeungua coz ya simu😅
2026-08-27 21:03:35
0
jesmine :
kama hutaki si unatafuta mwingine
2026-08-27 18:58:41
1
xtine :
yah it sucks.especially when you want to have a peaceful environment.
2026-08-27 11:45:06
0
To see more videos from user @kay.fx1, please go to the Tikwm
homepage.