@mpunju: KUMKUMBATIA MZAZI AFRICA NI SUALA GUMU SANA 🤣🤣🤣🤣 #foryou #trendings #africanfamily #fyp #funny @NAFUBOY_COMEDIAN

MPUNJU COMEDIAN 🎓
MPUNJU COMEDIAN 🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 10:58:44 GMT
33019
3547
81
61

Music

Download

Comments

ramu17483
ramu :
ambao hatuhawahi kumbatia wazazi tujuane
2026-08-27 11:30:17
34
s_finetz
S_fine Tz :
home boys
2026-08-27 11:12:42
0
ghailan128
Ghailan👳‍♂️ :
#Mikazo
2026-08-27 12:25:36
0
nevagv
Nevagv :
ambao hatujawahi kumukumbatia muzaz goga hpo
2026-08-27 19:11:22
4
kemib.msigwa
OFFICIAL MSIGWA🇹🇿 :
mm sijawahi kamkumbatia baba 😂
2026-08-27 19:12:33
4
aliymussa68
aliymussa68 :
😁😁 ulijuaje kk ata picha ya pamoja sina😆😁
2026-08-27 19:22:50
3
_mkweji
𝓶𝓴𝔀𝓮𝓳𝓲 ✨ :
Amini kabisa brother
2026-08-27 13:09:10
3
nasiburashidy793
mwisiram :
nikwer kabis il mm nakupnda
2026-08-27 14:40:20
1
yuzzo_scott
💸💸Č̣ĤĀŇČĤŪ👑💵💵 :
me picha za baba mbaka nimuombe tena kwa upole utaskia baba samahan nilikua naomba unitumie picha zako utaskia za nn sijuh apo utajibu nn nisaidie?
2026-08-27 12:49:49
7
hbmoo
hbmoo ✌️✌️ :
uhakik
2026-08-27 18:37:58
1
toethree3
T.O.E THREE 3 :
mm ata sijawahi😂😂
2026-08-27 13:58:06
2
sophiamgaya638
sophia_ mgaya :
mimi sjawahi piga picha na baba
2026-08-27 11:35:15
2
user9553221237802nawaza
chidy :
mikazo
2026-08-27 18:39:10
0
naajmanaajma497
sarah❤ :
kweliii me sijawah et🥺
2026-08-27 12:30:07
1
jamesi.jeje55
starjeje🦀🦀 :
ukiniuliza picha ya mzeee sina na siijui
2026-08-27 13:58:00
2
pam_boy_official
pam_boy_official :
😂😂 Toka nimezaliwa nimepata picha mbili na apo sijaamini Mimi nakuwa nachoka na aya mambo bwana 😂😂🙌🙌
2026-08-27 11:02:18
3
m.a.i0675
M A I :
nikwelkk
2026-08-27 12:30:13
1
lcrys16
Lyrics :
Daaaaah kwel kabisa kaka
2026-08-27 13:18:51
1
s_finetz
S_fine Tz :
ifakara wote like hapa
2026-08-27 11:13:03
5
mtotomdogoo0
PACHA :
achana na hiyo me hata kushikana Mikono sijawahi na sidhani kama itatokea😂😂
2026-08-27 12:58:10
1
joeljames9525
Sir Joel :
mm hata kushikana mikono labda nikiwa kichanga sana🤣 kwanza sina picha na wazazi labda zileeeee miaka 3
2026-08-27 15:25:05
1
infinity_fx2
INFINITY :
😄😄😄 unafukuzwa kwanza maelezo ukiwa kwako
2026-08-27 12:25:24
1
user1260739765161
maryouma🦋 :
Kweli kabisaa🤣🤣🔥
2026-08-27 11:02:09
3
emanuelandrew5
United forever :
Kumkumbatia baba hiyo ni kesi ya uhaini😂
2026-08-27 13:52:08
2
leon01_.ets
Leon 01 :
dah mimi kwanza ata saiv naanzia wapi
2026-08-27 20:37:08
0
To see more videos from user @mpunju, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About