@nijuzenews: Jussa: ‘Kero kubwa mmeichukua nchi yetu, hatutawaachieni mpaka muirejeshe’ Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, ameyasema haya Agosti 26, 2026, katika ziara maalumu ya Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Othman Masoud Othman iliyofanyika Mkoa wa Kati, Unguja. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
oh no😳!, I don't think Nyerere would say that... Not the Nyerere I know.😳
2026-08-27 21:00:20
0
user790152196752 :
jussa nakukukubali hupindishi maneno ,maneno yamenyooka kwenye mstari hongera sana unatuelimisha wataiona hivihivi zanzibar yetu
2026-08-28 06:39:34
3
THE SILENCER :
hakuna moja alotuachia zaidi ya ubaguzi wa upemba na uunguja
2026-08-27 23:16:02
1
oya weeee :
Isha Allah
2026-08-27 18:58:44
1
Abdallah Luqman :
kabsaaaa👌
2026-08-28 10:23:52
1
your_favourite_choir_master :
kwaio mnatakaje??
2026-08-28 11:12:16
0
gadafi :
Ccm nivibaraka wa tanganyika wapo kwa ajili ya maslahi yao tu ila sio kwa wazanzibar
2026-08-28 21:45:37
0
Coolrunning :
sawa sawa
2026-08-28 10:30:06
1
murtadhahassan902 :
ila Maalim amedhibiti Usalama na Amani ndani ya Zanzibar basi Ni yeye vyeginevyo tungalikuwa na Mapinduzi na mauuaji wa wenyewe kwa wenyewe na pengine tusingekuwa tena na Zanzibar wala Serikali ya Zanzibar hivyo huo n😊dio Mchango na Mafanikio ya Zanzibar itabakia labd watuvamie tena
2026-08-27 13:10:54
2
Saigon III :
1959 kabla ya uhuru wa Tanganyika😳😳
2026-08-28 13:08:46
0
Salim Alnadaby🇴🇲 :
2026-08-27 13:20:03
0
Abdulmalik Haji :
asante mh jussa mbungo wa watanganyika
2026-08-28 06:40:18
2
murtadhahassan902 :
kweli mafanikio makubwa ya Maalim Seif ni Sera ya Serikali tatu lakini hii siyo Sera yake bali muasisi wake ni Mheshimiwa Aboud Jumbe ambaye ndie Aliyetayarisha Katiba ya Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu kutoka Ghana na Akatayarisha Na kuwateua Wajumbe wa Baraza la Wakilishi na kuzinduliwa kwake na Mheshimiwa waziri Kiongozi wa Mwanzo Mheshimiwa Ramadhani Haji
2026-08-27 13:07:04
1
oya weeee :
safi kbsa
2026-08-27 18:44:02
1
Ibrah_bazooka :
Hivi Tanganyika tunafaidika nini na Zanzibar mpaka tupigwe vijembe hivi😂
2026-08-27 17:32:09
1
user9835816205682 :
mafanikio makubwa kuleta chuki na roho mbaya zanzibar
2026-08-27 19:57:33
0
ragdE✋️ :
kabisaa kingesokomewzwa😂
2026-08-28 07:20:02
0
Aaron :
Jamaa siasa za chuki, ila juzi tu hapa kaokota vyeo
2026-08-28 02:45:18
0
Coolrunning :
tungesema sie tungembiwa wachochezi
2026-08-28 10:32:20
0
Himgolden :
Lakini Mbona kuna uunguja na upemba
2026-08-28 06:44:57
0
salimsuleimanalfa :
😁😁😁
2026-08-27 19:18:35
0
Black :
🏃♀️🏃♀️🏃♀️
2026-08-27 14:42:18
0
Mwanambaya Gezaulole :
@😏
2026-08-28 14:53:24
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.