inafika muda wa sisi kuwasaidia mungu anawachukua,innallilah wainallilahi rajuun,ee mola waondolee adhabu ya kaburi wazazi wetu
2026-08-28 10:07:04
4
Nat ♥️🥰💯 :
mungu mlinde mama yangu mzazii,,baba angu ulale mahal pema peponi😭
2026-08-28 11:03:59
1
Momy Tham :
jina la wimbo
2026-08-28 06:15:32
1
Alexander Mtenga :
Daaah😭😭😭😭
2026-08-27 11:47:22
1
Vidow that prince :
inauma ingawa baraka huja
2026-08-28 10:55:48
1
annappaul0 :
Kuna siku nilikua sina pesa nina elf mbili tu tukapika tambi mfuko mmoja 😞 mwanangu mdogo akasema mama mimi sijashiba 🥹 Asante MUNGU sasa nina pata chakula cha kutosha 🙏
2026-08-28 15:45:43
2
PLUMBING &IRRIGATION :
da mam zetu mungu awape maisha malefu
2026-08-28 12:41:01
1
Miss pipi :
😪🥹😭🥺😭MUNGU USIWANYIME CHAKULA KILA SIKU WAAMKAPO WALE WENYE UHITAJI BWANA WETU🙏✍️
2026-08-28 11:28:10
1
daynes d :
dah! Allah nitunzie mama angu🤲
2026-08-28 15:05:13
0
Robert Samson :
daah umenikumbusha mbali😭
2026-08-28 13:55:52
1
Agnes :
MUNGU atubiganie hii imenikuta juzi ninanjaa biashara ngumu nikamnunulia chips msaidizi wangu nikamwambia kula mimi nimefunga kumbe njaa inanibangu
2026-08-28 18:24:00
0
user8517197128501ana :
😭😭😭😫😫😫
2026-08-28 09:56:44
1
Winiphrida Juma :
😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-28 07:47:19
1
monicaraphael575 :
😥
2026-08-28 10:57:15
1
To see more videos from user @2mariana863, please go to the Tikwm
homepage.