@kellyjuma08: jamani huyu mnyama anaitwa nani ####

m@don
m@don
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 11:49:35 GMT
210313
7947
235
300

Music

Download

Comments

antonymashala
antonymashala :
hahahhhhhh ety kamevaa vest ya white
2026-09-17 19:59:43
0
lynlyric2
Tuzo :
hivyo ndio Mungu atakupigania ikiwa utamwamini na kusema Amen
2026-09-04 05:19:55
60
jolliibabi
official Juju🔐🇹🇿✅ :
sema nimempenda kapambana kwaajir ya mtoto wake😂😂😂
2026-09-03 10:48:14
37
sam_jr57
sam_jr :
asa ukisikia yanga ndo uyu atuna chakuofia hahahahahha wana yanga tujuane
2026-09-04 06:38:07
5
samuelgichohi60
samuelgichohi60 :
na kamevaa vest ya white
2026-08-31 10:38:27
19
jumo.harder
jumo harder :
hivi unajua kuna binadam wa hivi hawaogopi kitu yeyote
2026-09-04 13:15:38
13
joyna.salvatory0
J.S.K.R.♥️ :
😂😂😂simba anajiuliza mbona kagumu iv😂😂😂
2026-08-29 10:33:17
16
kamwana675
kamwana :
Israel power
2026-09-11 19:19:09
1
siyantemioo6
john thobias :
hapa waachane naye2
2026-09-01 09:43:09
6
mboje.malale
Mboje Malale :
it's like "Duuuh!🙌"
2026-09-02 16:59:55
12
briella4briella9646
ABOVE ONLY FASHION :
haka simba mmoja kanamuua
2026-09-02 17:27:16
5
ridahbby0
ridahbabe♥️🥰 :
honey badger 🔥
2026-08-31 19:13:12
2
rosemanyama321
🌹 :
mwisho Simba kawa bodyguard 🤣😂😂
2026-08-30 06:44:58
14
latifa3129
latifa ❤️❤️❤️ :
Ila hapo mwishoni walipo mshika nyuma na mbele kidogo wali mchanganya akasahau kama yupo mbele ya simba😁😁😁😁😁
2026-09-01 18:52:49
11
user42990104834923
elly :
yani uyu n mimi mtupuuuu😂
2026-09-02 13:38:12
2
user3274999509838
IKRAM yusuph :
vile mm nampenzi wangu tunang'ang'aniana
2026-08-29 07:20:48
7
chimamyartist1
chimamy artist 🥰😘 :
simba mwenyewe haamini🤣🤣🤣
2026-09-04 06:26:00
1
nasatymeyraaj
Ñåãh🦋💫💕 :
Adi wameshangaa hii nini
2026-09-04 19:12:46
1
eve.baib
eve baib :
haka nikama kananifunza kitu leo nmepatana na video zake mingi sana😂😂
2026-09-06 11:47:47
1
swalimhal4
Roman Reigns :
It's not easy to the two kings🤣🤣🤣🤣
2026-08-29 19:30:57
2
user63775742044206
faridi&Najaty♥️ :
huyu Mimi kabisa nikiwa na mubaba wangu
2026-09-03 19:44:31
1
jumaathumani725
juma furniture 0757133554 :
atakua ndo yanga mwenyewe huyu😂
2026-09-03 20:01:33
1
sanjuminah08
sanju :
sasa simba siwaachane nae tu atawachosha bure😂
2026-08-29 14:17:41
4
amayna_ladie
A_Ladie🍎 :
Marehem alipambania uhai wake🥹
2026-09-02 20:04:34
3
To see more videos from user @kellyjuma08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About