kumbe wewe unaeleza vizuri mzee karibu mtwara mzee
2026-08-27 19:15:22
8
Dj Fighter Wa Kubonda :
afu Izo Choma Za Siku hizi Ni Kama Dimbe Tu ila Sasa Zile Choma Za Dj Nyamwite ndo Choma Afu Kama Una Bisha Ingia Live Afu Nikugusie Izo Choma Za ambazo Anapiga Dj Luba au Dj D voice au Manyani ila choma za siku hizi ni Dimbe ila la slow mahan choma ni slow
beat ni Moja tofauti ni sample za voice "zenu znasena choma kusini dimbeni" all in all beat n izo izo
2026-08-27 13:25:56
2
shalifumasoud2 :
umeuwa kaka 😂
2026-08-27 13:10:00
2
madeux :
tofaut
2026-08-27 12:53:00
2
🧸DOGO ✨ MS@FI⭐ 32 :
una chamba umbeya xx🥺🥺🥺
2026-08-27 19:05:16
3
DJ BONI MR MISONDO🇹🇿 :
mc sharo anaimba mziki gani. choma zenu ni dimbe nimeskiliza choma zenu sana kwa sasa nipo tabora kwaiyo izo choma zenu nimesiliza sana mfano wakina Dj gombo. kula pwani kuna mapoda na wengine choma zimeanza kujulikana juzi. dimbe kitambo
2026-08-27 15:52:06
1
iscoh_sk😎🤟 :
😂😂 oy kak izo umezopiga mwisho nakumbuk😂😂 2020
2026-08-27 12:58:46
3
mashakaally725 :
mbona vinaendan tofauti ni mixer
2026-08-27 22:25:36
0
J seven og :
2015
2026-08-27 13:24:52
1
YOUNGER STOPPA :
waambee kakak 😁😁😁
2026-08-27 13:55:17
0
Dogo D tz :
me nna kuuliza kitu kimoja kwa nn hamubadilish sitail
2026-08-27 18:32:37
0
Boe🅱️ sungah🎱⭕️☪️♐️ :
Kak nisaidiee iyo ya mwisho af inaitwaje
2026-08-27 21:35:59
0
sperllo GM :
AIFOLA MBONA NIMEITAFUTA SANA NITUMIE AIFORA MWANANGU 🤭🤭🤔🤔 apo umenichanganya
2026-08-27 18:43:15
1
official WAKUJA :
iyo ilikuw inaitwa choma namb moja toka Kwa dj nyamitwe🫡
2026-08-27 13:23:12
1
sperllo GM :
apo itabidi tukupe tunzo unatuwakilisha vizuli 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤠🤠🤠🤠🤠
2026-08-27 18:41:54
1
Gato pasikal :
2021
2026-08-27 21:37:04
0
iVanny_kidd :
nakubali
2026-08-27 13:32:18
1
Pëdrœ Frēezër 🪛⛏️⚒️ :
sahhh
2026-08-28 05:18:04
0
mokendric :
apo umexema point
2026-08-27 22:39:00
0
Amoxclave625mg :
Ndomaana nakukubalk mood love,Nilisubilia sana majibu yako kuhusu hawa watoto wa mtwara,umetisha sana bro mood love🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
2026-08-28 06:16:49
0
@Buji27 :
UMEONGEA POINT MI NAONA TOFAUT KBSA😊
2026-08-28 07:05:24
0
user2323006768513 :
tofauti
2026-08-27 13:36:16
0
To see more videos from user @mahmuduel, please go to the Tikwm
homepage.