@coolnews24hrs: Pep Guardiola anakesha usiku kucha anachora ramani na pembe tatu ubaoni, Ancelotti anainua nyusi mpaka asubuhi kutafuta mbinu... Alafu anakuja Zinedine Zidane kwenye kikao cha timu anawaangalia wachezaji usoni anasema: "Mwanangu, mbinu ni moja tu leo. Mkipata mpira mpeni yule jamaa mwenye jezi namba 7, kisha nendeni mkakae katikati ya uwanja msubiri kushangilia." 😂 Zidane aligundua siri mapema; ukiwa na cheat code ya maisha, huna haja ya kusoma mwongozo wa mchezo! 🤫🐐 Follow @coolnews24hrs For more ⚽🙏🏆 #Ronaldo #goat #viralreels #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #TrendingNow