@kanikibrown: Mhe waziri wa maendeleo ya jamii Dorothy Gwajima amezungumza na wana habari kuhusu Kauli ambazo msanii Dudu baya amekuwa akizitoa kuhusu masuala ya mmomonyoko wa maadili katika nchi ya Tanzania 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 13:37:20 GMT
36582
1633
35
42

Music

Download

Comments

sisterfey_cosmetics2024
SARU COSMETICS & CLASSIC SHOES :
I LOVE YOU MAMA🥰🥰🥰
2026-08-27 16:58:19
0
neemakamwela3
nil :
mama umetishaaaa
2026-08-27 15:46:53
2
lengima1
lengima1 :
nazidi kumpenda mamaangu watu wanazidi kudhoofisha watu kwa kuyaona sana madhaifu yao
2026-08-27 13:47:08
17
micajunia
micajunia :
SS Yule ni rais wetu mamambaz MWACHE kabsa
2026-08-27 15:00:40
9
user2850635518256
user2850635518256 :
huyu mama tumpende sana Yuko sahihi
2026-08-27 15:38:35
7
jahazi552
Jahazi :
Watu wabaya huwa hawawezi kumwambia mtu Strength zake, wanashabikia madhaifu yake. Well said Mh. Waziri.
2026-08-27 16:23:16
5
fredy.ambrose
Fredy Ambrose :
shida ilo jina
2026-08-27 14:11:59
4
vesston
veston :
Mpeni maua huyu mama akiwa hai
2026-08-27 19:54:36
0
hassan.manjoti
Hassan Manjoti :
fact
2026-08-27 16:55:42
0
user649003571
MR POLITE :
mamba 24 namkubali sana tena sana maana anapinga ushoga mungu amlinde dudu baya
2026-08-27 19:44:50
0
user20631741196578
tiktok :
nikweli mama gwajima umeongea kitu tunampenda sana dudu baya
2026-08-27 17:34:06
0
changia00
ashura :
asante sana
2026-08-27 16:46:24
0
user7702500216932
@benjaminimwalimu3gml. :
mamba 24 ni mmoja tu
2026-08-27 16:45:12
1
anna.business.wom
Anna Business Woman :
😁😁😁 mamba 24 oyee
2026-08-27 15:53:47
0
james.willfred66
James Willfred :
dudu yuko vzr imefika wakati razima tuongee uharisia sis binadam atuelewi na hawasii ni lazima tuseme uhalisia ili waelewe ila tu tupunguze maneno makali
2026-08-27 15:33:45
0
user9932253875448
Jacobo Mpuku :
ndo kama mama samia bn hammwambii😂😂😂kumbe munaona kwa dudubaya tu sy
2026-08-27 13:49:47
6
lorwn2000
peace :
dudu baya nitampiga miti
2026-08-27 16:05:44
1
user3355324915978
Abel :
waziri una jicho la tatuhongera😁😁😁😁
2026-08-27 15:09:54
1
fafel.myooooooo0
Faithfel :
Ila kweli yule jamaa ana kitu
2026-08-27 14:57:24
1
macoboy77
Macoboy :
kweli mamba24 anakitu sema shida matusi tu bas
2026-08-27 16:21:46
0
beka.alvaro
Beka alvaro :
keupe ndio shida
2026-08-27 16:23:28
0
gasper1234560
Gasper :
mambaz 24 haikwepeki ndio maana halisi😃
2026-08-27 19:05:24
0
imanimwankemwa
imanimwankemwa :
kama mnavoshindwa kumwambia b mdash ukweli
2026-08-27 15:16:12
1
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About