@baikajorde: haikuwa lengo baya kuonyesha ila Mimi nimejivunia uthubutu wake , kujituma kuona atafute Kwa jasho lake nawapenda sanaaa wamama wa hivi mwenzangu , sema tamfanya apambane bila kuwa na chozi moyoni 💪 Ili afanikiwa zaidi BFF wangu❤️⛪🙏 Ili azidi kumwamini mungu yupo tu
Ipo siku atasahau ugumu wote🫂🫂she's strong and so she's going to make it !
2026-09-02 13:17:53
1
Momove💞 :
Mungu wangu tofali 100 elfu 4😭😭😭
2026-08-28 03:10:43
255
Mrs.....maela khery :
khaaaaaaaa jamn total mia elf 4🥹 dhambi t
2026-09-01 15:51:24
1
SilentOne :
That bike is designed for this work
2026-09-02 08:40:11
1
Erick Ford :
Kani zile pesa za TASAF wanapewaga wakina nani
2026-08-28 04:59:25
146
Davidmagaritz. :
aisee saa8 usiku nimeona hii video nimekosa usingizi naomba nijue uyu mama nampata wapi mama angu amepitia haya maisha kwa sababu yangu iasee
2026-08-27 23:36:09
479
Milestone 001 :
Unae Angalia Hii Vedio Mungu Akulinde Sana Na Ajaalie Mkono Unao Toa 🙏💔💔
2026-08-28 12:28:14
394
SWALEE WA 002🇰🇪 :
Kheri hivyo kuliko kupanua miguu.. mungu amjalie sana 🙏🙏
2026-08-28 20:17:57
109
Mc nogeshaatz :
Mimi nilifeka kiwanja misitu mafundi wakajenga nikamwagilia maji nyumba uko unapoenda kuchota maji sasa ni mbali ajabu ya mungu nyumba ikakamilika tukashirikiana kununua fenicha mpya za ndani siku tunataka kuhamia anasema kule mwenzako kashaingia kwenda kule namkuta mshichana nikamuuliza wew ni Nani na ivi unavyofanya ni sahihi akanijibu nishamwambia uyu mwanaume akauache sijui kwanini adi sasa upo nae tena ondoka apa usiniletee nuksi kwangu Yani Nimeona hii video nimelia sana na mwanaume akaniacha yani namuachia mungu😭😭
2026-08-28 05:59:59
126
Zuwena Ally :
kuliko kujiuza kaona apambane na mtoto mgongoni 😭😭😭 Strong woman 🙌🙌
2026-08-28 16:48:17
21
Nyakwar oyenga :
God bless you 🙏🙏🙏
2026-09-01 19:01:50
0
Mom j :
mungu akubariki mama rita
2026-08-28 17:21:37
10
✨emmy :
nimeliaa kweli ata Mimi awe rafikii angu
2026-08-28 13:39:55
31
Hellen :
from Kenya and how can send money from Kenya please
2026-08-31 18:16:06
1
EmanueliEnock25 :
duh mungu akuzidishie mama litha namm nataka kuwa lafki yako
2026-08-31 21:12:20
5
ZUU TRUCK PARKING :
sijui nalia nn ubarikiwe mama ritha❤️❤️❤️
2026-08-28 06:03:19
5
Enice Nanyaro :
ndo maana sioni aibu kufanya kazi yoyote najua kwenye kutoka kwangu ndo kuliko baraka zangu
2026-08-31 07:25:32
5
DonJ³ :
barikiwa sana sana
2026-08-27 20:48:34
7
fadhila_31 :
jaman dada mungu akuzidishie nimejikuta natoa machoz
2026-08-27 18:41:02
70
DIAMOND PLUTNUM :
jamani wanaume tuwe na huruma
2026-08-28 00:03:01
87
Miss Trude🥀❤️🌹 :
Apo kweli umepata rafiki haowatu wanakuaga na upendo sana yan apo hawezi kukusahau 😔😔Nina ushuhuda
2026-08-28 05:24:57
13
ßranding ßible :
"Naomba Uwe Rafiki Yangu" 🥲🥹
2026-08-27 23:48:15
92
To see more videos from user @baikajorde, please go to the Tikwm
homepage.