kweli kabisa mama naushuhuda nimi na lafiki yangu jmn kaachika kategemea mchepuko utamuowa na mchepuko nae kaja kisema awezi owa wake wawili na yeye ana mke wake nyie utamuonea huruma na mumewe kaowa tayari
2026-10-10 19:17:23
50
MARIAH :
Mimi sina mpango wa kutoka wa nje haingii wa ndani sitoki 😂
😂😂aahweee nlikuwa napigwa mpk nimepewa kilema nanimetoka maisha saafi alikuwa hataki nifanyekaz Sasa nafanya kazi najiamini nannachokipata kinanikiz mahtajyang na yawatt wangu Allah ananishushia mabaraka mie akhaa napeta tuu nakupendeza napendea ad anantaman🥰 mloko kwenye ndoa na mnaamani nawaombea aman isiwaishie jmn Nawapenda 🥰🥰
2026-08-28 17:21:39
7
bint juma :
kukosa kawaida kipenz mim nimejituliza kwammewang naivi sina wazaz najionea wage wage tu🥰🥰
2026-10-01 10:20:49
9
ash💕 :
tafuteni hela📌
2026-08-28 15:06:03
5
awa phiri :
kweli.nyamkumba
2026-08-28 17:29:08
1
rebby ajmal :
waambe ao waelew😊
2026-10-02 14:38:01
1
Mwana :
Ht na rafiki yangu sio kweli mm nimeondoka dada imenishinda hiyo
2026-08-27 14:33:48
7
tukaemoshisalum :
pole dada apo ujanishawishi
2026-08-28 17:43:22
2
santhush🥰🤩 :
kweli
2026-10-11 21:26:33
0
Greener Aston :
Asante mama kwa ushauri
2026-10-13 06:00:04
1
magrethchriss :
shida wanatunyanyasa
2026-10-14 08:01:23
0
Young Africans :
ujumbe umewafikia
2026-10-12 04:02:22
0
Mrs Abduly :
kabisa mama yangu Asante kwa ushauri Allah akulipe
2026-10-12 19:22:05
0
To see more videos from user @habibamikidadi, please go to the Tikwm
homepage.