@agricultureplustz: 🐥 UNALEA VIFARANGA KIBIASHARA? USIPUUZE JOTO. Kwenye siku za mwanzo, vifaranga vinahitaji mazingira yenye joto na utulivu. Heater ya Agriculture Plus ni suluhisho rahisi kwa brooder yako. ⚡ Umeme wa kawaida wa majumbani 🔥 Hutoa joto kwa eneo la kulelea ✓ Rahisi kutumia ✓ Rahisi kufunga ✓ Inafaa kwa wafugaji wadogo na wakubwa 💰 TSH 45,000 TU 📍 Tegeta Nyuki, Dar es Salaam 📞 0795 161 727 Wekeza kwenye mazingira bora ya vifaranga tangu siku ya kwanza. #creatorsearchinsights #AgriculturePlus #FYP #TikTokTrend #TikTokTanzania