@kishkionlinetv: Video ya kushtua imeonyesha tukio la radi kali iliyopiga sehemu ya juu ya mnara maarufu wa saa wa Makkah (Makkah Clock Tower), huku hali ya hewa ikiwa mbaya na radi zikionekana kwa wingi angani. Tukio hilo limetokea wakati wa mvua na mvurugiko mkubwa wa hali ya hewa katika eneo hilo. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako
Kishki Online TV
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 14:19:36 GMT
Music
Download
Comments
@Japhari Zakaria :
waisilam wote takbir
2026-08-27 17:12:43
224
alliy jabiri :
allah tupe mwisho mwema
2026-08-27 16:19:51
131
natrix_1008 :
daah wallah juzi nimeota kiyama kimekaribia ety 😭😭
2026-08-27 15:29:10
92
juma@Mdudu 4️⃣5️⃣ (🇯🇲🎌🇿🇦) :
allah aqbal
2026-08-27 22:22:08
0
madam zuweyna😍 :
Allah aqbar
2026-08-28 04:36:29
0
pretty naah 💝💗💝 :
allah atujalie mwixho ulio kua mwema yarrab
2026-08-27 19:36:21
24
Nature is life :
Hatma ya mwisho Mtamtafuta hamtawona mtamwita hataitika, yamkini dalili zitawakumbusha Ukuu wake(Yesu bwana) Hallelujah💪🙏
2026-08-27 16:36:00
18
😉Sparkle✨️🌸💞 :
Allah atujaalie mwisho mwemah insha'Allah 🥹🤲
2026-08-27 16:28:08
33
user576715143476 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-08-27 18:57:00
11
user3628101267046 :
Bwana yesu ndie njia ya kweli na uzima tumsifu yesu kristo
2026-08-27 17:28:56
7
@ibnkilenza :
SASA CHA AJABU NINI MBONA RADI ZINAPIGA MINARA KILA LEO KUPIGA MNARA WA MAKKA NDO IWE AJABU
2026-08-27 15:08:14
8
Ruty :
Kwan ladi zinatakiwa zipige wapi tutoleeni tahaluki zenu apa
2026-08-28 05:46:01
2
bin issa ktchen dish :
power of Allah
الله أكبر
2026-08-27 14:47:21
27
diva12 :
allah kwan anasemaje?😊😊😊
2026-08-27 16:56:33
2
wolper mdogo :
mnanichanganya kila mtu anasema aliota aliota
2026-08-27 17:36:39
5
meenah de cute🤗💘😍 :
hata mimi nimeota🥺
2026-08-27 16:56:12
1
Martha H😋 :
jamn tuendelee kusisitizana kusoma 😂😂
2026-08-28 06:16:38
0
Kilomba 001 :
sasa kuna cha ajabu hapo jamen
2026-08-27 17:35:20
1
G7 :
Ni kawaida. Majengo marefu yote yana lightning conductor na earthing
2026-08-27 15:55:49
8
🎀cammy🎀 :
Allah Akbar
2026-08-27 16:33:58
0
Alli Hassan :
usikute imam mahdi ndo kafikishiwa ishara hvo
2026-08-27 19:02:19
0
Agriclture :
hiyo n thunder imeshndwa kudestroy huo mnara sio mara ya kwanza hpo mahali kupigwa n thunder
2026-08-27 20:00:36
3
beby queen 💞💯 :
Allah akbar
2026-08-27 15:45:55
4
To see more videos from user @kishkionlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.