jamani wanaume njoni uku kuna dada anatutetea. ☺️☺️☺️
2026-08-27 17:30:37
117
LUCAGO..666👁️.. :
Mtetezi wetu yu hai😁😁
2026-08-28 02:11:54
49
moses :
familia yangu sanamu lake tumjengee wapi huyu👍👍👍👍
2026-08-27 20:33:52
39
halalbaddie22 :
Kwani wenyewe wanataka nini kingine???😳😳
2026-08-27 22:36:00
8
Babaz ranger 2 :
paradise be your future house Dadaa🤲🤲🤲
2026-08-27 19:02:26
3
Ellybizo.89 :
really mamaaah perfect 😂😂
2026-08-27 19:51:58
0
mariam :
haswaaaaaaqa
2026-08-28 10:13:57
0
abdhillahyussuf :
huyu sanamu lake tumuhusishe mama samia au tulijenge wenyewe
2026-08-28 10:05:04
5
pharesabraham :
sister uko sahihiiiiiiiiiiiii
2026-08-27 19:48:53
1
wilibetvedastus 455 :
nice babya😂
2026-08-28 00:32:08
3
Marry Julius :
sasa anataka nimpe nini jaman mimi sina chochote🤣
2026-08-28 05:29:35
7
MJENZI JR :
hapana dada angu apo umekosea sana Tena sana
1.mwanaume bila mwanamke hawezi kuzaliwa iyo Moja yeye ndye Alie tupa maisha
2.mwanamke ndye mshauli wa kweli wa mwanaume apa achana na mama naamaanisha mpenzi ushauli wake unanguvu kubwa sana
3.mwanamke ndye kiumbe anaye weza kumpa mwanaume mtoto kumbuka anateseka kitandan pia kubeba miezi Tisa
hujui why walimtumia delila kukata nywele za Samson kumbuka alikua na mke nyumban lakin alimtaka delila angekua anataka mwili angeenda Kwa mkewe tu alimpenda kweli delila
namaanaisha mwanamke anaweza kukupa TRUE LOVE
2026-08-27 21:10:00
7
Edimund Laurent :
wambie ndomana nakupendagaa we dada
2026-08-27 19:47:38
17
Simply winnie🍭🌸 :
Aisee wazungu wanaheshimiana sana kweny swala la mahusiano, huwez kuta amekaa anaongea hivoo ndo maan wametuzidi kila kitu hata Kama ni ukweli
2026-08-28 06:26:42
1
rucas :
M mke wangu anacho chakunipa
2026-08-28 11:03:26
1
aclaund :
Dada yangu, dada yangu, dada yangu! Nimekuita mara 3. Hujui tu umeifungua akili yangu kwa kiasi gani kwa huu ujumbe wako🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-08-27 18:52:27
14
nez :
Kama bado hujaolewa basi mume umepata sema ameni 😂😂
2026-08-27 19:42:26
5
smart org :
utunzwee dada
2026-08-27 23:38:36
3
tray :
tunapokosa hamu ya tendo wanasema hatuna nguvu za kiume
2026-08-28 10:02:28
1
Jules kisonia :
kuna wanawake wana ongeya ukweli hakika☺️☺️
2026-08-28 10:01:50
1
BXQ The Benie :
chukua soda nakuja kulipa
2026-08-28 10:32:24
1
Dramaqwin 034❤️🥰 :
Wanaume anao wasemea ata kwenye movie hawapo😂😂😂
2026-08-28 03:10:45
2
To see more videos from user @kizibo68, please go to the Tikwm
homepage.