@agricultureplustz: 🌿🐄 CHAFF CUTTER — MALISHO BORA, UFUGAJI BORA, FAIDA ZAIDI! Kama unafuga ng’ombe, mbuzi au kondoo, usipoteze muda na nguvu kukata malisho kwa mikono. Chaff Cutter inakusaidia kukata malisho kwa haraka na kwa ukubwa unaofaa ili mifugo iweze kula kwa urahisi zaidi. ✅ Hukata Napier Grass ✅ Mabua ya mahindi ✅ Majani ya migomba ✅ Majani ya viazi vitamu ✅ Malisho mengine ya mifugo ✅ Huokoa muda na nguvu ✅ Hupunguza upotevu wa chakula ✅ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara 🔥 Mifugo ikipata chakula vizuri, uzalishaji nao unaongezeka. 📍 Agriculture Plus – Tegeta Nyuki, Dar es Salaam 📞 0795 161 727 🚚 Tunasafirisha Tanzania nzima. #ChaffCutter #AgriculturePlus #AnimalFeed #DairyFarming #Ufugaji