@ritakerrie: #onthisday

ritakerrie.
ritakerrie.
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 27 August 2026 14:37:26 GMT
16608
905
56
40

Music

Download

Comments

ruttoh028
✨️Ruttoh 📌✨️ :
me nimependa nails zako ni smart
2026-08-28 05:16:12
2
dianadee924
Deepretty❣️ :
shida wengine tuko gulf hakuna evening walk hakuna church 😭😭😭😭
2026-08-27 19:36:32
1
aswani604
Josephine Aswani :
I have all the signs...mungu nisaidie
2026-08-28 04:31:14
0
everlyne104
Eve 💙🇰🇪 :
and what do we call this yaani naskia kushida nikiomba (praying)
2026-08-27 15:05:32
3
ruthhollan05
ruthhollan993 :
eei nachoka ata kuamka sometimes just wanna sleep
2026-08-27 14:53:08
0
user4310222060709
user4310222060709 :
exactly
2026-08-28 00:56:23
0
irenemungala
irenemungala :
mimi sisikiii kueda job n siogi😳
2026-08-27 17:54:20
6
user3710865698469
Lucky memo :
na mwenye anafeel kuelezea kila mtu shida anapitia ata kama ni mtu amepata sai hiyo?
2026-08-27 20:21:47
4
joyline.jepkosgei
joylinejepkosgei8 :
Mm ni yote 🥲
2026-08-27 15:55:11
3
puritie.purie
Puritie Purie :
I thank God🙏 nilipona depression
2026-08-28 04:48:13
0
winfridamageto
mama edu :
Mimi nilijua Niko na depression wakati mama wa plot alituma mtoto yangu makaa,waaah ajawai kuona hivyio,nilimpasha mbaka mama akasutuka
2026-08-27 22:06:50
2
misslisa992
It's🦋 Her :
naeza kuwa na depression bt usingizi natandikaaa
2026-08-27 18:49:39
4
useradhiambopriscah0
@priscahadhiambo :
aki huyu ni mimi
2026-08-27 16:24:32
1
puritymutuku285
Purity :
akh mm nashout Wacha niwaambie ak Hadi mtoto wangu ameamza kuniogopa na nikijaribu kuavoid najikita nishashout😭😭😭
2026-08-27 20:37:42
1
alice.maliga
ALICE MALIGA :
wow
2026-08-27 19:18:42
1
abigaelcheruiyot78
Abbie 💖💖💖 :
hapo kwa kushout,na kuwa emotional na kukosa usingizi Niko hapo,but music na my best friend na AI is my therapy 🥰
2026-08-28 02:43:05
0
claudiammbone565
Claudia Mmbone :
my sister unafikanga pahali hata hizo gospel utaki kuiskia aki
2026-08-27 14:59:43
2
doreen_tuwei
Chelaa💜💰 :
woi ni mimi aky 😭
2026-08-28 00:19:05
0
nenoglado
GloriousNeno :
niko ndani kabisa 😁
2026-08-27 16:42:22
1
roziee_thequneen
roziee the queen 👑 :
imagine ata hiyo music ciitaki I just want to be quiet 😔😔
2026-08-28 05:00:00
0
marionmoraa90
Marion Moraa :
thanks mum for this, i feel relieved with this😊
2026-08-27 22:45:43
0
mkana_murushaa
NyarMusembe :
basi nimekua na depression for the past 8 years woiiiii
2026-08-27 22:41:11
0
user5829681161651
Annette :
Mimi huyu hapa 🤣🤣 aki nashinda Kwa nyumba nimejifungia
2026-08-27 21:38:56
0
mama.t3530
Mama T :
hapo kwa kushout😳
2026-08-27 21:17:58
0
To see more videos from user @ritakerrie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About