@ms_munno: TUKUTANE DARASANI! . Nimegundua kwamba tunahitaji sana kutoa elimu hii ya kiroho kwenye jamii zetu za Kiafrika. Watu wengi wanajikuta wakivunja potential zao au kupitia changamoto ambazo, kama wangekuwa na elimu kidogo tu, wangeweza kuzielewa na kuzitumia kwa manufaa yao. Lakini kwa sababu hatujazoea kuzungumzia elimu hizi, mara nyingi ukimuona mtu anaongea kuhusu mambo ya kiroho tunaanza kumuwekea labels. Na hii yenyewe ni ukosefu wa maarifa. Ndiyo maana sisi @divinewellnessglobal tunafundisha elimu ya kiroho kupitia madarasa yetu online. Tuna madarasa matano. 1.Revelation | ni darasa linalokufundisha meditation na manifestation, kwa sababu meditation ndiyo msingi wa kujitambua na kuanza kuelewa safari yako ya kiroho. 2.Chakras & Rituals, ambapo tunakupa elimu kuhusu nguvu hizi na namna ya kuzitambua na kufanya kazi nazo. 3.Astrology kwa beginners, ambapo tunaanza na misingi ambayo mtu anahitaji kuelewa kuhusu astrology na nyota. . 4.Feminine Energy, ambalo ni darasa kwa wanawake kuhusu kuelewa nguvu zao kwamba uwezo wa mwanamke hauishii kwenye kuzaa mtoto; tuna uwezo wa kuzalisha, kuumba na kuleta vitu vingi kwenye maisha. Na mwisho tuna Feminine Womb, darasa linalohusu womb healing na elimu kwa wajawazito, wazazi, pamoja na wanawake wanaobeba trauma zinazohusiana na pregnancy loss, miscarriage au abortion. Tunazungumzia pia advocacy ya mzazi na namna ya kumsaidia mtoto kupitia hatua mbalimbali za ujauzito. Kila darasa ni TZS 53,000 na madarasa yote yanafanyika online. Ili kujiunga, tuma malipo kwenye namba yetu +255 654 270 373 kisha tutumie ujumbe WhatsApp na utaunganishwa kwenye darasa. Darasa jipya linaanza tarehe 14 Septemba, na usajili unafungwa tarehe 3 Septemba. Karibu tujifunze. 🤍 #fyp #munno111

Munno🪄
Munno🪄
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 August 2026 14:57:10 GMT
8016
975
17
6

Music

Download

Comments

marthachelsea70
Marthachelsea🎀💕 :
true asf
2026-08-27 18:03:13
0
amtee15
amtee :
thank you sweetheart
2026-08-27 18:10:57
0
gift.mark0
Gift Mark✨🦋 :
That’s true ❤️
2026-08-27 16:15:36
1
stemic4
stemic4 :
Mimi umenisaidia sanaaa
2026-08-27 15:14:03
6
naash.mwani
Naah Mwani :
bado Nina shida nikiwa na meditate nashidwa kufocus nifanye nn?
2026-08-27 15:29:14
3
user37382741629904
Middo 45 real :
Mwanafunz wako wa 1 apa dada🙏
2026-08-27 15:23:01
2
mercycosmetics14
MERCYCOSMETICS 💄 :
adi sisi group O
2026-08-27 19:35:45
0
neemabaisy
Neyney :
samahani elf 53 ukilipia darasa inakuwa kwa mda gani
2026-08-27 15:48:15
1
latteva_essentials
Latteva Essentials :
my life has changed sana kupitia haya madarasa
2026-08-27 19:48:49
0
rayyaimu6
rayyaimu :
Napataje kujiunga na daresay lako
2026-08-27 15:34:41
0
user8107048049857
Sauda Emmanuel :
huu ujumbe🥰 natamani watu Fulani kwenye familia yangu wauelewe Yani wanielewe.thanks munno🥰
2026-08-27 17:56:03
0
elinileabukhay
Ellie_Cosmetics🧴 :
Mwanafunzi wako nimepoteza notes 😭😭 please anyone who can help. Nimesoma madarasa yote hayo nashindwa kufanyia kazi masomo kwa undani nina just highlight knowledge
2026-08-27 15:36:35
0
imy.__j
Julia :
am the first to comment guys for the first time 🙌☺️☺️
2026-08-27 15:05:36
2
jj169999
Unknown :
Kope zako umeweka wapi please
2026-08-27 21:54:46
0
ms_trinity01
Trinity01 :
☺️☺️☺️
2026-08-27 15:00:22
0
my.sarah947
Amyrah mommy💎 :
🥰
2026-08-27 15:58:19
0
To see more videos from user @ms_munno, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About