@tariq.hussein05: Tanganyika, Tanganyika, Tanganyika, Tanganyika Watanganyika bila Katiba mpya yenye kutoa mustakabari wa Muungano kuhusu Serikali ya TANGANYIKA tutasaga meno. Ni bora "Mkuki wa Taifa"
Hii ni kawaida sana kwa viongozi wote hasa wa Ccm . Leo tumesahau Chato ? Watu walinunua viwanja Chato kwa kujipendekeza tu na baadae wakaviacha.
2026-08-28 05:25:51
1
Salim Ngengele :
t
2026-08-28 05:57:17
0
professor_diesel7 :
nini maana ya muungano
2026-08-28 05:56:51
0
k rang :
samia rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni mtanzania halisi mipango yao walozoea kufanya ina fifia siku hadi siku tutawasikia sana hii ndio tanzania huru ya watanzania sio ya kikundi fulani kinachohodhi mamlaka watakalo ndio hupanga hakuna hyo hamjasema ccm mko vzr toeni virusi nchi ipo salama
2026-08-28 14:52:10
0
ali yusuf :
SIO HAKI YA TANGANYIKA ,,
TANGANYIKA YENYEWE HAIPO
IPO WAPI ???
2026-08-28 10:54:55
0
user8374907957315 :
Kila kitu sasa hivi ni zanzibar tu.hali ya sasa nimbaya mno
2026-08-28 13:27:56
0
user3361865952294 :
naumia san
2026-08-28 14:07:56
0
mawigi :
mi shida yangu sgr ifike mwanza tu ndo ntamuelewa samia
2026-08-28 14:10:14
0
kidevu :
bas kuazia leo ataegemea kwenu
2026-08-28 08:18:45
0
Seif Kabelele :
OK
2026-08-28 08:42:28
0
Bakari Yusufu :
HATA AFANYE VIPI ASILI NI ASILI TU HAWEZI KUMALIZA RASILIMALI TULIZONAZO NA HATA VIWEZWE VIP RASILIMALI,ATAKUJA RAISI MUNGINE ATAVIRUDISHA TU.NAMKUMBUKA SANA KAMANDA MAGUFULI.
2026-08-28 05:52:10
0
user :
utawala kaweka mungu mlitaka mzanzibari asitawale na raisi wa zanzibar mlikua mnamchagua nyie mnaemtaka wacheni ubaguzi
2026-08-27 21:12:28
0
Lord Sr :
Baba wa Taifa kmnmkas, bbbxzz afugvb
2026-08-28 05:28:08
0
Saleh Hassan2399 :
Iyooo Tanganyika imekufaa tokaa 64 hakuna nchii ya tangayikaaa
2026-08-28 13:53:29
0
N Seif Said :
wacheni ubaguzi na chuki sote ni kitu kimoja
2026-08-28 05:11:55
0
Yunus Abdur :
haiwezekani kabisaaa ata kuteuliwa ukuu wa wilaya hamna
2026-08-28 05:10:49
0
mjuni03 :
Mtu kwao
2026-08-28 05:25:56
0
To see more videos from user @tariq.hussein05, please go to the Tikwm
homepage.